Jerry Silaa atangaza kugombea Ubunge Ukonga

Jerry Silaa atangaza kugombea Ubunge Ukonga

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Meya wa Ilala Jerry Silaa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga Katika uchaguzi mkuu ujao.

Meya huyo ametangaza nia hiyo huku Jimbo la Ukonga likiwa jimbo linaloongoza kwa miundombinu mibovu ya barabara kiasi kwamba nauli ya daladala inafikia hadi 1000/-

Kwa sasa Jerry Silaa ni meya wa Ilala ambapo Jimbo la Ukonga liko chini yake na hatua mbalimbali za wananchi kulalamikia ubovu wa barabara hizo hazijafua dafu.

CCM imepoteza udhibiti wake katika maeneo mengi ya Ukonga kwa Chadema ambapo miaka ya nyuma ilikuwa ngome kuu ya chama hicho tawala.

Source:Mwananchi
 
Ameogopa kugombea Segerea kwavile Makongoro na Masaburi walimtishia kumroga?
 
dah angepata kipindi baba riz yupo angepewa uwaziri
 
Mgombea wa ccm anatangazwa na kada wa chadema...hii kali
 
Molemo,
wewe chadema inazidi kuzama badala ya kutumia muda wako kuiokoa unahangaika na mambo yasiyokuhusu...msukule
 
Meya wa Ilala Jerry Silaa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga Katika uchaguzi mkuu ujao.

Meya huyo ametangaza nia hiyo huku Jimbo la Ukonga likiwa jimbo linaloongoza kwa miundombinu mibovu ya barabara kiasi kwamba nauli ya daladala inafikia hadi 1000/-

Kwa sasa Jerry Silaa ni meya wa Ilala ambapo Jimbo la Ukonga liko chini yake na hatua mbalimbali za wananchi kulalamikia ubovu wa barabara hizo hazijafua dafu.

Source:Mwananchi
Wewe utagombea tena vunjo? Ukagarazwe na wanaume
 
Lowasa ameonywa....tunasubiri na huyu dogo aonywe si kumuandama mzee wa Monduli tu.....
 
Mgombea wa ccm anatangazwa na kada wa chadema...hii kali

Ukimsoma Molemo kwa makini hutauliza swali hili. Ni kijembe maana kama Meya wa Ilala na ukonga ndani hakuna chochote alichofanya. So CDM mtaji.
 
Ni haki yake kikatiba ajipange sawasawa wapo wengi ambao watakuwa na hiyo nia ila wapiga kura watapanga na kuamua wamchague nani.
 
Inahusu sana. Anatangaza udhaifu na ulegelege wenu
Chadema hata shimo la choo tu hamjajenga jitambue kwanza halafu siku hizi kwa uongo hamjambo mnafanya na hii kazi soma hapa uongo wenu na wenzako.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    63.8 KB · Views: 233
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK LIVE!!:- HUYU MTU AMEJARIBU KUNICHAFUA JANA KWENYE MITANDAO WANAONIPENDA WAKANITUMIA UJINGA WAKE NA YEYE NI NANI, HUYU NI NDUGU WA MY EX-WIFE NIMESEMA MARA NYINGI SANA KWAMBA MIMI SIO WA KWANZA KUACHANA KWENYE NDOA, NA ALIYETAKA KUTOKA KWENYE NDOA NI NDUGU YAO NA WOTE WANAJUA SASA KWA NINI HAWANIACHI, MIAKA 3 SASA TOKA NDOA IISHE NA MAKARATASI YAPO, LAKINI HAWANIACHI WANANITAFUTA KILA KONA WAKIMJUA MBEBEZ WANGU TAYARI WANAMTUMIA SUMU ZAO, JAMANI NIWAC...HENI NA MAISHA YANGU!!
- MIMI NILISHA MOVE ON YALIYOPITA YAMEPITA, SASA TUTAISHI HIVI MPAKA LINI? MSAIDIENI NDUGU YENU APATE MWANAUME MWINGINE KAMA HANA NAMUOMBEA SANA KWA MUNGU AMSAIDIE MAANA MIMI SASA NAELEKEA KUOA NINA MCHUMBA ANA MIAKA 26 NI MWANASHERIA NA SASA ANAMALIZIA DEGREE NYINGINE YA DIPLOMASIA NINAMPENDA KULIKO MAELEZO, MJIFUNZE NEXT TIME MKIPATA MWANAUME NAMNA YA KUTULIA NAYE MIMI MMESHANIKOSA I AM GONE SIURID HUKO NIWACHENI BANA WACHENI KUNIFUATA FUATA JUST LEAVE ME ALONE!!, KUNICHAFUA MITANDAONI HAITAWASAIDIA KUPATA MUME MWINGINE MIMI NINA MCHUMBA TAYARI LEAVE ME ALONE!! - LE MUTUZ
See More






LikeLike · · Share
 
Jerry silaa anajidanganya. Jimbo la ukonga ccm haiwezi kulichukua tena. Namshauri kama kweli anataka ubunge atafute jimbo jingine. Ukonga madiwani wote wamekimbia akiwemo Jerry silaa diwani wa Ukonga. Madaraja yamekatika, barabara zimeharibika wakifuatwa madiwani wanajifungia ndani na kuwaagiza wake/waume zao watudanganye wamesafiri kikazi wakati wamejifungia ndani. Huyo mbunge wa ukonga ndo hatakiwi hata kukatiza huku akionekana itakula kwake. Sasa huyo Jerry Silaa huo ni uchu wa madaraka ameshindwa udiwani atawezaje ubunge.
 
Sisi wanaukonga hatumtaki hata kunsikia, amekuwa diwani wetu, hakuna chamaana alichofanya ndio anafukiri tunaweza kumpa ubunge! Thubutuuuuuuu! Hata huo uduwani angetaka tusingempa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom