PreGE2025 Jerry Silaa achukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga

PreGE2025 Jerry Silaa achukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Jerry Silaa, amejiunga rasmi katika mchakato wa kuwania ubunge kwa kuchukua fomu ya kugombea Jimbo la Ukonga, jijini Dar es Salaam.

1751101324145.png
Hatua yake ya kuchukua fomu inakuja wakati ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.

Jerry Silaa, amekuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, tangu mwaka 2023

1751101348298.png

1751101365237.png
 
Back
Top Bottom