Jerry Muro

Status
Not open for further replies.

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Mpambanaji Jerry Muro yuko wapi kwa sasa baada ya kushinda kesi yake? Anafaa kuwa mwana siasa kama upo huku JF tunakukaribisha CDM.
 
Baada ya jibu hili nitakuomba ufunge Thread yako ama mod afunge.

Jerry Muro yuko Tumaini University anasoma mwaka wa tatu branch ya dar ndio anamalizia mwaka huu sababu kule UDSM hakumaliza baada ya ku-disco muda mfupi kabla hajajiunga ITV wakati ule. Akimaliza chuo tutajua mwelekeo wake ni wapi.

Narudia, funga uzi wako sasa au hamisha kutoka hapa maana Jerry has nothing to do with Jukwaa la Siasa! Kwaheri!
 

umenena!
 

Naimani mwongozo wako utazingatiwa Mwana Mpotevu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…