Jerry Muro Mtani kaishangilia Simba leo, nimeshangaa?

Kuishabikia Yanga ni upungufu wa aki.li. Huwezi ukawa timamu ukaipenda hiyo timu.
 
Kwa Jerry
Bado hujani convince, nikichokiona ni msg kwamba ushamba wa kuzomeana kwanye International games ni mambo ya zilipendwa na hajaanza leo , nakumbuka mara kadhaa ameingia kwenye mkwaruzano na wana Simba pale taifa kwa kukaa jukwaa la Simba kwenye mechibza simba akishow love ingawa wanasimba tuliishia kumtimua kutokana na ukweli kuwa jamaa alikuwa ana uwezo mkubwa wa kututoa povu ingawa alikuwa anaonyesha live hakuwa mjuzi wa mambo ya mpira.
 
Haya sawa, nakubaliana na wewe kwamba hana analolijua kwenye mpira, na ana chembe za unafiki, simchukii, ila ndivyo alivyo.
 
Kwa wajuzi wa mambo ya picha hii picha ina 'ujumbe' au maana kubwa....Centre of attraction katika picha hiyo ni Mheshimiwa Paul Makonda...Hii ni kwa namna mpiga pcha alivyofanya 'cropping' ya picha....Dewji anaonekana 'anajipendekeza' kwa Makonda....Kigwangala naye ambaye ni waziri anakuwa 'mnyenyekevu'...dah...sipendi 'cropping' ya aina hii...Pengine picha hii ilipigwa wakati Mhe. Kigwangala hajawa waziri..vinginevyo mmmh...
 
Ameanza kuizoea soka , kaishangilia Simba. Je wewe tafakari chukua hatua.

Tafadhali hatununui shabiki, Poleni vyura wazee, na ile mvua sijui pakoje hapo KATI maeneo ya Jangwani.Maana pale taifa mzee Baba wakuitwa Benjamini alimleta hihoo lakini mafuriko yalisimamisha mechi.Laleni salama

Ulitakaashabikie mende
 
Huyo Jerry ni bogus tu, hana maana kabisa huyo. He's a Boot Licker.
 
Back
Top Bottom