Jerry Muro Mtani kaishangilia Simba leo, nimeshangaa?

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Ameanza kuizoea soka , kaishangilia Simba. Je wewe tafakari chukua hatua.

Tafadhali hatununui shabiki, Poleni vyura wazee, na ile mvua sijui pakoje hapo KATI maeneo ya Jangwani.Maana pale taifa mzee Baba wakuitwa Benjamini alimleta hihoo lakini mafuriko yalisimamisha mechi.Laleni salama

 
Huyo anamfuata Makonda, si unajua Mheshimiwa Makonda ni Simba damu?


simba day5.jpg
 
Tokea atimuliwe yanga huyo Muro anaikashifu sana yanga mitandaoni anawasema sana yanga

Sijashangaa yeye kushangilia simba
 
Kwani ukiwa Yanga... Simba ikicheza na timu tofauti na Yanga ni dhambi kushangilia? Ingekuwa Simba na Yanga then anashangilia Simba on that time hapo ingekuwa hoja ya msingi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom