chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,538
Mkuu hapo umeteleza kidogo.Mkuu umemshauri h......
Ni kweli maamuzi mengine ya Rais wetu yanatukwaza wengi ila bado ni kiongozi wetu na kwa wengine ni kama mzazi wetu kwa umri.
Tumkosoe kwa staha.