Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Kijana nimekufuatilia kwa muda mfupi tangu ulipoteuliwa kuwa DC Arumeru umefanya vituko ambavyo havivumiliki.
Umeonesha dharau , kiburi na jeuri ya hali ya juu sana kwa watendaji wa Umma na baadhi ya watumishi wa Wilaya ya Meru.
Lakini labda nikwambie tu angalia mifano ya waliokutangulia na hasa rafiki yako Paul Makonda anavyoaibika hivi sasa siyo Makonda yule aliekuwa akiwadhalilisha watumishi dharau na kiburi kwa wananchi. Hivi sasa Viongozi wa Serikali wamemsusa Makonda anatamani ardhi ipasuke aingie.
Sasa nikushauri tu kama Kaka yako nenda polepole mdogo wangu hivi vyeo ni dhamana tu kuna maisha baada ya cheo. Nakuomba ubadilike Jerry Muro Mh.Rais atakuona tu siyo lazima umake headlines kila baada ya Wiki.
Ni hayo tu.