Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Jamani,
Jerry Muro ameajiriwa TBC. Alilazimika kuondoka IPP Media (ITV), baada ya jitihada za kumzuia kwenda Marekani kwa kozi fupi kushindikana. Wakubwa zake ITV walijaribu kumzuia, bila ya sababu za msingi na ni kinyume cha jittihada za kuwaendeleza vijana, lakini waliomdhamini, Wamarekani wa USAID, walimpeleka baada ya kuona sababu za kumzuia ni "roho mbaya". Vivyo hivyo kwa kijana mwingine wa ITV, Sudi Mnette, ambaye naye walitaka kumzuia asiende Deutsche Welle, Sauti ya Ujerumani kwa kozi ya miezi sita, lakini akalazimika kuachana na ITV, kwa sababu kama za Jerry Muro na akaenda, akamaliza kozi, sasa ameajiriwa pia na TBC! Hayo ndiyo ya IPP Media na maendeleo ya vijana!
Bwassa

ITV majungu, fitina, uchawi vimetawala sana pale.
He haya mambo mbona mazito a u sure ?!
Jana nimeona Promo yake kizungumza na Karume, Ikulu ZnZ, Jerry anakuja na kipindi bomba sana ali mradi isiwe nguvu ya soda.tunashukuru sana kwa information ila mbona mpaka sasa hajaanza kuonekana kwenye Luninga
Na kutangaza habari za ufisadi imefika mwisho cause pale TBC access denied
Ni assistant Lecturer hapo Chuo Kikuu cha Mlimani kwenye kitengo cha Sociology.What of Misanya Dismas Bingi. Namkumbika sana huyu jamaa na wimbo wake wa asubuhi wa yeke yeke ua yeke yeke
Kaka nakuaminia na bado unahasira nao...nakumbuka kila ukikuta TV channel ni ITV lazima ubadilishe!!100%
nimewahi kufanya hapo upande wa ICT kwa mda ,
waulize tu hata malipo wanayopewa! ni shiiiiida!
Kaka nakuaminia na bado unahasira nao...nakumbuka kila ukikuta TV channel ni ITV lazima ubadilishe!!
Ha ha ha mpwa huko nako ni ivyo ivyo tu!! Star na Itv hawana jipya!!hehehe! Anakimbilia Star TV siyo? Mpwa umeua!
...Ananikumbusha siku alipokuwa anaripoti kuhusu vurugu za mkutano wa walimu pale Diamond Jubilee jamaa kwenye runinga huku anakwepa mawe yaliyokuwa yanatumwa kwa mzee G.Mkoba!!!!Nadhai hizo zote ni Blaa Blaa. Cha muhimu ni kujua yuko wapi na anafanya nini kutokana na kutoonekana ITV kwa muda mrefu
Mzee usifanye mchezo na ruzuku!!! TV binafsi mpaka wategemee matangazo!! kwa hiyo unavyo compare hapo hauzitendi haki TV binafsi!!I commend the good job done by Tido!! TBC is shining tena by far kuzidi hata TV za binafsi!!
Congratulations Tido and the whole TBC team!!