Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

Nasikia siku za karibuni alimfata Manji eti aone la kufanya kwake ila alifukuzwa kama mbwa koko
Mkuu unajua siku zote mtu mwenye njaa daima huwa hana aibu,amesha sahau jinsi alivyokuwa anatoa maneno ya kejeli kwa Manji wakati yupo matatizoni
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mshana mshana Mungu anakuona Ujue...dah nimecheka sana..
Kuna siku utaamini maneno yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…