Sina hakika kama Jerry Katimuliwa, lakini siwezi kushangaa kwani IPP media haiwezi kukukaa na watangazaji au waandishi wazuri. Nadhani kuna matatizo sana pale.
Kwa muda mrefu hatumsikii uncle J (Julius Nyaisangah) sijui kuna mtu ana taarifa zake.

Duh! Jerry Muro ametimuliwa? dah! jamaa mbona alikuwa mtangazaji mzuri sana,pia watu wengi walikuwa wanampenda sana kwa jinsi alivyokuwa ana ripoti habari zake kwa umakini wa hali ya juu....Kwa ili IPP wamefulia.
Huyo uncle J sidio alakuwa ana pewa pombe hapo na Mike mochiwa anamrusha hewani utafikiri kipindi cha kutuma salamu...Bongo watu wana njaa hadi ya bia duh!
Mengi ajibu hoja ya FISADI PAPA, Rostam AZIZ, kwamba maslahi ya wafanyakazi wake yakoje?. Jerry Mullo ni msomi, na hata unaweza ukampima kwa report zake, nazani IPP kuna tatizo, JF hebu mmoja wetu atusaidie ktk hili.