Jerry nampa big up sana, habari yake ile ilisaidia sana kupunguza unyanyasaji na majivuno ya askari polisi iringa waliyokuwa nayo dhidi ya madereva ambao wengi wao ni std7 so hata uelewa wa haki ndogo ndogo tu ni shida, jamaa pale check point Igumbiro walikuwa miungu watu, sumbua sana madereva kwa vijimambo visivo kichwa wala miguu maadam tu wachomoe pesa! shenzi sana polisi wale baadhi walifukuzwa kazi akiwemo Mud