Jeri Muro anafaa kuwepo kweny m4c.

People

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
364
34
Jeri Muro ni jembe la ukweli,jana kupitia clouds Tv kaonesha jinsi alivyo jasiri wa kuongea ukweli pasipo uoga wowote...plz CDM fanyeni mpango mathubuti mlichukue jembe hili.
 
ni wazo zuri sana....il nina wasiwasi na TISS kama hawatamnaniliu maana MAGAMBA na serikali yao wanamchukia sana.......
 
Jeri Muro ni jembe la ukweli,jana kupitia clouds Tv kaonesha jinsi alivyo jasiri wa kuongea ukweli pasipo uoga wowote...plz CDM fanyeni mpango mathubuti mlichukue jembe hili.

Nafikiri wewe jasiri unaitafsiri kitofauti sana, sikushangai maana Mmasai kwake jasiri ni yule aliyeua Simba lakini Mzaramo Jasiri ni yule aliyefumaniwa zaidi ya mara tatu (kwa mujibu wa marehemu Ditopile-RIP)
 
Du hii nchi bwana leo muomba rushwa mkubwa anaitwa jasiri walai tumelaaniwa,juzi juzi kanifurahisha alilia kama mtoto alinyanganywa dem moja hivi mwenye hela aliekuwa anamweka mjini hapa ilikua ni kilio cha hatari,kumbe wanaume wanapenda mtelezo saizi kapigwa chini na huyo mama pedeshe na gari kamnyanganya, huyo ndo jasiri..
 
Jerry bwana! Amesema 5 out of 95 (akimaanisha asilimia 5) !! Kazi ya mathematics bado ipo kubwa tu kwa magraduate wetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom