Umenikumbusha mbali. Enzi hizo mifano inatolewa kwa vitu vilivypopo. Jamaa ana mbio kama chui, mfupi kama uyoga, mkali kama simba, anaimba vizuri kama kasuku n.k
Nikweli kabisa ndivyo ilivyo hajakosea.wa arabuuu.ndio maana makanisan niwachache sana,na wazungu niwache sana misikitini wanavutana hawa.lakin ma blak tuko pote pote yaani sisi ni wateja wao hatuna lolote sie