Mwenzetu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 550 Reaction score 195 Dec 23, 2010 #1 kuna habari kuwa jengo limeanguka mjini Dodoma mwenye taarifa zaidi atujuze
Obuntu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 510 Reaction score 35 Dec 23, 2010 #2 Obuntu does not like it - Thread Subject <> Thread Contents!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,601 Reaction score 167,386 Dec 23, 2010 #3 makandarasi hebu tuelezeni nui wapi mnakosomea kuangusha majengo??????/
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Dec 23, 2010 #4 niko dom lakini sijaipata hiyo bado.
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,841 Dec 23, 2010 #5 semango said: niko dom lakini sijaipata hiyo bado. Click to expand... dah! jamhuri high vipi hapo!
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 257 Dec 23, 2010 #6 MWENZETU umesikia! muulize aliye kuambia ili ulete kitu cha uhakika humu!