Jengo laungua moto Kimara

Jengo laungua moto Kimara

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
Wanabodi habari za asubuhi!

Nimepita sasa hivi hapa Morogoro Rd maeneo KIMARA TRA, kuna jengo kubwa nyuma ya OFISI ZA TRA KIMARA linawaka moto.

Kwa macho ya mpita njia, moto ule ni mkubwa sana. Nikiwa kama mpita njia sina info za ziada.
 
umeshndwa kupga 114 ukaona ulete Jf kweli 1:4 inakuhusu
 
Kuna muda zimamoto wakifika kwenye tukio wanachelewa sana wananchi wananchi wenye hasira kali wanawazomea na kuwapiga mawe
 
Nikiwa kwa mwendokasi nimeona bar maarufu kimara baruti ikiungua moto muda huu..mwenye nyuzi zaidi atujuze
 
Wanabodi habari za asubuhi!

Nimepita sasa hivi hapa Morogoro Rd maeneo KIMARA TRA, kuna jengo kubwa nyuma ya OFISI ZA TRA KIMARA linawaka moto.

Kwa macho ya mpita njia, moto ule ni mkubwa sana. Nikiwa kama mpita njia sina info za ziada.
Zile washa washa ziliishia wapi? Si zinaweza saidia?
 
Ni baa ndo imeungua ipo karbu na jengo la TRA Kimara.Zimamoto wamefika ila hali ya baa ni tete
 
I think mwenye nyuzi Zaidi ni wewe uliyepita eneo la tukio. Ungeshuka kwenye mwendo kasi ukamilishe habari. Ona lilivyo jioga... Unaogopa kuchelewa kazini ata kwa nunsu saa kwa sababu ukipoteza hicho kibarua hutopata kingine. Utakuwa na vyeti feki wewe au kazi umetafutiwa na mjomba ako... 😀😀😀
 
Bar ya Hawaii ya Kimara Baruti njia ya vumbi kwenda Chuo Kikuu cha Dar es salaam ..UDSM inasemekana imeshika moto asb na Zimamoto wako eneo la tukio wakifanya kazi ya kuzima moto.

Chanzo:REDIO EFM Live toka Kimara
 
Back
Top Bottom