figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco.
je ni kweli???
je ni kweli???
Tunapenda kutowa mada zisizo na mshiko lakini mradi wakitajwa watu fulani basi hatufikiri. Kwani wenyew si juzi tu walitowa tamko jee hili hawalijuwi?kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco.
je ni kweli???