jengo la Tanesco ubungo linahusishwa na R.A

jengo la Tanesco ubungo linahusishwa na R.A

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,927
Reaction score
63,657
kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco.
je ni kweli???
 
kama ni kweli watanzania hadi Ikulu tutakodishiwa sasa:smash:
 
ndiyo maana dr.magufuli kapigwa stop kulivunja?
 
Hapana lile jengo ni mali ya tanesco, lilijengwa wakati wa manging director the late mhaville, na mkandarasi alikuwa ni noremco, labda kama wamelikweka rehani benk wakakopa pesa kwa rostam. Lakini ninavyojua ni mali ya tanesco 100%
 
kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco.
je ni kweli???
Tunapenda kutowa mada zisizo na mshiko lakini mradi wakitajwa watu fulani basi hatufikiri. Kwani wenyew si juzi tu walitowa tamko jee hili hawalijuwi?
 
Back
Top Bottom