Amigo Senior Member Mar 7, 2009 150 3 Nov 1, 2010 #1 Jengo la CCM Nera lapigwa moto hizi ni habari zilizo nifikia sasa watu wamesha amua sasa fujo mtindo mmoja hili nalo CCM wamelitaka wenyewe kwa kweli hali ni mbaya sana.
Jengo la CCM Nera lapigwa moto hizi ni habari zilizo nifikia sasa watu wamesha amua sasa fujo mtindo mmoja hili nalo CCM wamelitaka wenyewe kwa kweli hali ni mbaya sana.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,174 Nov 1, 2010 #3 JK ndiye tutamlaumu kwa kutundia upya TUME HURU ya Uchaguzi inayoweza kuaminika na watanzania.................
JK ndiye tutamlaumu kwa kutundia upya TUME HURU ya Uchaguzi inayoweza kuaminika na watanzania.................
C Chumvi1 Senior Member Oct 10, 2010 137 8 Nov 1, 2010 #5 Sawa kabisa si suala la uvunjifu wa amani hapa