Elections 2010 Jengo la ccm mwanza lapigwa moto

Amigo

Senior Member
Mar 7, 2009
150
3
Jengo la CCM Nera lapigwa moto hizi ni habari zilizo nifikia sasa watu wamesha amua sasa fujo mtindo mmoja hili nalo CCM wamelitaka wenyewe kwa kweli hali ni mbaya sana.
 
JK ndiye tutamlaumu kwa kutundia upya TUME HURU ya Uchaguzi inayoweza kuaminika na watanzania.................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom