P Pure nomaa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 1,158 Reaction score 1,388 Aug 17, 2015 #21 Twende na lowasa,sina imani na CCM
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,035 Reaction score 35,171 Aug 17, 2015 #22 kula kwa tindo said: Wameenda wapi? Au wamekuja Lumumba kwenye Kikao cha kamati kuu? Click to expand... Wako monduli kwenye mgao
kula kwa tindo said: Wameenda wapi? Au wamekuja Lumumba kwenye Kikao cha kamati kuu? Click to expand... Wako monduli kwenye mgao
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,035 Reaction score 35,171 Aug 17, 2015 #23 Vizuri kuwa hivyo
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,134 Reaction score 6,417 Aug 17, 2015 #24 Maoni yangu kuh hilo jengo UKAW walikodishe kama jeuri ipo..
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,648 Aug 18, 2015 Thread starter #25 Chumchang Changchum said: Maoni yangu kuh hilo jengo UKAW walikodishe kama jeuri ipo.. Click to expand... Ukawa tukichukuwa nchi oct saa mbili asubuhi tunalitaifisha na kuwa la wananchi yaani la serikali.
Chumchang Changchum said: Maoni yangu kuh hilo jengo UKAW walikodishe kama jeuri ipo.. Click to expand... Ukawa tukichukuwa nchi oct saa mbili asubuhi tunalitaifisha na kuwa la wananchi yaani la serikali.
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,134 Reaction score 6,417 Aug 18, 2015 #26 Bosco Saronga Makoi said: Ukawa tukichukuwa nchi oct saa mbili asubuhi tunalitaifisha na kuwa la wananchi yaani la serikali. Click to expand... Dua la kuku hilo mkuu...
Bosco Saronga Makoi said: Ukawa tukichukuwa nchi oct saa mbili asubuhi tunalitaifisha na kuwa la wananchi yaani la serikali. Click to expand... Dua la kuku hilo mkuu...
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 18, 2015 #27 Kwa maoni yangu, hilo jengo wapewe Yanga kabla mvua azijaanza.
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 18, 2015 #28 Dugu moja.......
Makaro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 615 Reaction score 136 Aug 18, 2015 #29 Hayo majengo ya ccm yanatakiwa kurudishwa serikalini maana yalijengwa wakati wa chama kimoja na serikali.
Hayo majengo ya ccm yanatakiwa kurudishwa serikalini maana yalijengwa wakati wa chama kimoja na serikali.
M makundubhyali JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 2,389 Reaction score 886 Aug 18, 2015 #30 lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... Ha ha ha ha naisubili kwa hamu sana siku hiyo , labda mje wa wanachama kutoka Dodoma.
lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... Ha ha ha ha naisubili kwa hamu sana siku hiyo , labda mje wa wanachama kutoka Dodoma.
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,756 Reaction score 2,053 Aug 18, 2015 #31 Aiseeee....
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Aug 18, 2015 #32 Chumchang Changchum said: Maoni yangu kuh hilo jengo UKAW walikodishe kama jeuri ipo.. Click to expand... Hilo jengo Ni Mali ya umma Ni swala LA muda tu kutaifishwa...
Chumchang Changchum said: Maoni yangu kuh hilo jengo UKAW walikodishe kama jeuri ipo.. Click to expand... Hilo jengo Ni Mali ya umma Ni swala LA muda tu kutaifishwa...
M mwanamudodo Member Joined May 30, 2013 Posts 28 Reaction score 12 Aug 18, 2015 #33 gsu said: weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka. Click to expand... kwa taarifa yenu majengo ya wananchi hayo na siyo ya fisiemu...mwisho wenu kuyatumia October 2015:mod::dance:
gsu said: weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka. Click to expand... kwa taarifa yenu majengo ya wananchi hayo na siyo ya fisiemu...mwisho wenu kuyatumia October 2015:mod::dance:
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,035 Reaction score 35,171 Aug 18, 2015 #34 Wekeni Na chadema
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,064 Aug 18, 2015 #35 Team Nyumbu!na bado mpaka mfe akili ndo lowasa atawaachia.
bananga JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 666 Reaction score 340 Aug 18, 2015 #36 lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... duu kumpokea kwa kishindo!! Una moyo
lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... duu kumpokea kwa kishindo!! Una moyo
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,116 Reaction score 40,120 Aug 18, 2015 #37 Jengo ka Kuzimu.
K katosho Member Joined Apr 7, 2012 Posts 10 Reaction score 4 Aug 18, 2015 #38 Hata Nguo za kijani ni nadra kuziona jiji Arusha toka laigwanani amalize kazi...
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,099 Aug 20, 2015 #39 makundubhyali said: Ha ha ha ha naisubili kwa hamu sana siku hiyo , labda mje wa wanachama kutoka Dodoma. Click to expand... Malori ya mkaa yameadimika yanafanyiwa service tayari kwa kuwabeba MAFISIEMU kutoka vijijini
makundubhyali said: Ha ha ha ha naisubili kwa hamu sana siku hiyo , labda mje wa wanachama kutoka Dodoma. Click to expand... Malori ya mkaa yameadimika yanafanyiwa service tayari kwa kuwabeba MAFISIEMU kutoka vijijini