Jengo la CCM Arusha!! Picha

Jengo la CCM Arusha!! Picha

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,648
Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia
Mwenyekiti Mpaka mfagizi.
Limebaki kama GOFU!!

Nini Maoni yako kuhusu hili jengo
 
Attachments

  • 1439802156166.jpg
    1439802156166.jpg
    23.4 KB · Views: 2,468
Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais
 
Ci unajua lilijengwa na wananchi wote A-town? 2016 tutalirudisha kwa wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais

Ha ha hata mimi naona mtapokea kwa KISHINDO
 
Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia
Mwenyekiti Mpaka mfagizi.
Limebaki kama GOFU

Nini Maoni yako kuhusu hili jengo

weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka.
 
weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka.

Issue sio kuonyesha jengo .issue ni watu kukimbia ofisi ya chama chetu.
 
Jengo lenyewe lilijengwa kwa nguvu na michango ya wazee wetu ambao hawakuwa na chama leo tunabiwa ni la ccm na viwanja ni vya ccm aibu na kashfa kubwa
 
Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais

Ccm Arusha....?
We ni shetani kweli kweli..
 
Back
Top Bottom