MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,736
- 1,078
Hao mbona wanapga kazi chini ya Engeneer. Wachina mbona wanatumia wabongo ht wasio na elimu kujenga ghorofa.What can we do as a people and as individuals?
Hao mbona wanapga kazi chini ya Engeneer. Wachina mbona wanatumia wabongo ht wasio na elimu kujenga ghorofa.What can we do as a people and as individuals?
Kweli mtu mzima unaandika mavi kiasi hiki??!! Kkwelo pumzi zimekata.Beyond dictation. sasa hivi Arusha Kazi hawawapi contractors tena, mkuu wa mkoa ameagiza mafundi wa mtaani ndo wapewe kazi. Nchi hii inaelekea shimoni na sisis tunaangalia tu, we got to do something
Nae ana Intelijensia yake, unahisi kakurupuka bila kuuliza watalaam.Sasa ww hapo unaongea ki professional au ki emotional?? Unajua taratibu za manunuzi ya jengo kama lile?? Kuanzia architect consultant anavyowasilisha mchoro,hadi unavyomleta QS kupiga gharama,hadi unavyokuja kutangaza tenda ya kumpata mjenzi??kuna taratibu maalumu za kupunguza gharama kama unahisi si sahihi na siyo kupitia siasa ni kupitia Qs wako anaclaim kwa mujibu wa taratibu,unajua madhara ya kusign contract ya kujenga jengo then kubadili masharti ya mkataba??nasikitika siasa kuingilia utaalamu,na si vinginevyo,sina maslahi yoyote na jengo lile ila wataalamu lazima tusimamie taaluma zetu tuache kuendekeza siasa
We jamaa umejibu kama vile unajua uliyemjibu alitaka kujaribu kudanganya.Sasa kama TBA wamepewa tenda zote je hao wafanyakazi kazi watatoa wapi? Au wana robots watakazo fanya hizo kazi?
Jaribuni kufikiria angalau hatua mbili mbeleni kwanza
Hili nalo la wapinzani?? Kwani alopanga gharama hizo za ujenzi ni mpinzani?? Think twiceWapinzani mmevurugwa sana aiseeeee? Kasi ya maendeleo chini ya Rais Magufuli imewachanganya sana
mkuu taaluma inaongea, kutoka 46b to 10b tutakuja kulaumiana. tukumbuke MV Dar es salaamMagufuli is right. Very right. Let's be professional, not emotional. Hostel za UDSM na hospitali hiyo kipi expensive? How come hospital ya mkoa icost 46bn na hostel zicost 10bn. Ni sawa na kununua TV kwa 2M Mlimani City Mall na mwingine akapata TV ile ile na ubora ule ule Kariakoo. The very same concept. Kinachotusumbua waTZ tulio wengi ni WIZI na ubinafsi.
Inawezekana kuwa contract yake ni mpaka kusupply equipment za hospital kwenye Jengo husika"Politics is about everything but everything is not politics and makinge everything politics,amount to make everything a failure".
Tutaendelea kufeli kwenye kika kitu na awamu hii tutafeli kwa speed ya rocket.
Gharama inaweza kweli kuwa ni kubwa ila inategemeaa na aina ya jengo na hata kama ni kupitia upya gharama basi ifanywe na wataalamu husika lakini sio kwa Raisi kupanga bei(hizo ni fani za watu)
Maendeleo gani wewe?Wapinzani mmevurugwa sana aiseeeee? Kasi ya maendeleo chini ya Rais Magufuli imewachanganya sana
Maendeleo gani wewe? Uliza bandarini mbona hali tete.Wapinzani mmevurugwa sana aiseeeee? Kasi ya maendeleo chini ya Rais Magufuli imewachanganya sana
Maendeleo gani wewe?
Anaji-tobolisu...Mkuu umesema the person that dictates almost everything is a nini? Au sijaelewa..... Hahahaaaaa naona unajilipua tu
Nani kakuambia wapinzani ni vyama vya upinzani? Kuna wezi na wapinzani wa maendeleo ya nchi zaidi ya ccm?Halafu si kila anayehoji ni mpinzani,naweza kuwa ni mwanaccm mzuri kuliko wewe,mm pamoja na familia yangu ambao baadhi ni viongozi,ila unapofika muda wa kusema ukweli wacha tuseme na utaalamu achukue nafasi yake,mm shishi simiyu,na sina mpango wa kuishi simiyu Leo wala kesho,wala sina ndugu huko,kama itatokea nikitumia hilo jengo ni kwa mapenzi tu ya Mungu labda nikiwa safarini,,ninao waonea huruma ni hao wakazi wanaojengewa jengo la kitaalamu kwa mafundi wa mtaani,naijua hii industry ndo maana nawaonea huruma,
Mtu asiekua kwenye industry hawezi kuelewa mkuu maana wanafikiri muda wote contractors wanaiba... TBA hawawezi kufanya kila kitu wanazidiwa vingi na makampuni binafsi. Hili jipu mkuu analolitengeneza litampasukia usoni siku moja10% kwanani?afu athari za hii kitu ni inasambaa mpaka kwa institutions za serikali, kodi, ada katika bodi za wataalamu hawa kama aqrb, erb, crb n.k hii siyo good move natarajia hata wewe unalikubali hili
I was there personally when he was talking about that hospital. Mtoa mada ulichokizungumza kina utofauti mkubwa sana na kilichokua pale ground zero. Ushauri wangu ni kwamba usubiri masaa machache utakuwa ushapata video ya hilo tukio and im sure if you are an honest person you will come to thank me
Inawezekana kabisa kwa sababu STRUCTURAL ENGINEER yuko sidelined (excluded) which means kwamba structural strength ya jengo SIYO "a compulsory requirement"!Ikiwa Architect, QS consultant, Contractor wamekubaliana jengo linajengwa na kukamilika kwa billion 46, anakuja mkemia anasema hilo jengo kwa mchoro uleule mjenge kwa billion 10 na likamilike...
Natanguliza pole zangu kwa wananchi wanaoekwenda kutumia hilo jengo maana kitakachotokea hapo ni bora jengo na si jengo bora,,
mkuu taaluma inaongea, kutoka 46b to 10b tutakuja kulaumiana. tukumbuke MV Dar es salaam