Jengo la Bilioni 46 kujengwa kwa bilioni 10, natanguliza pole kwa watumiaji

mliverpool

JF-Expert Member
Jan 6, 2015
1,558
2,937
Ikiwa Architect, QS consultant, Contractor wamekubaliana jengo linajengwa na kukamilika kwa billion 46, anakuja mkemia anasema hilo jengo kwa mchoro uleule mjenge kwa billion 10 na likamilike...

Natanguliza pole zangu kwa wananchi wanaoekwenda kutumia hilo jengo maana kitakachotokea hapo ni bora jengo na si jengo bora,,
 
I was there personally when he was talking about that hospital. Mtoa mada ulichokizungumza kina utofauti mkubwa sana na kilichokua pale ground zero. Ushauri wangu ni kwamba usubiri masaa machache utakuwa ushapata video ya hilo tukio and im sure if you are an honest person you will come to thank me
 
"Politics is about everything but everything is not politics and making everything politics,amount to make everything a failure".

Tutaendelea kufeli kwenye kika kitu na awamu hii tutafeli kwa speed ya rocket.

Gharama inaweza kweli kuwa ni kubwa ila inategemeaa na aina ya jengo na hata kama ni kupitia upya gharama basi ifanywe na wataalamu husika lakini sio kwa Raisi kupanga bei(hizo ni fani za watu)
 
Jamaa anakiuka taratibu zote za manunuzi ya umma,he is dictating everything,and the person that dictates almost everything is a dictator..period

Beyond dictation. sasa hivi Arusha Kazi hawawapi contractors tena, mkuu wa mkoa ameagiza mafundi wa mtaani ndo wapewe kazi. Nchi hii inaelekea shimoni na sisis tunaangalia tu, we got to do something
 
Magufuli is right. Very right. Let's be professional, not emotional. Hostel za UDSM na hospitali hiyo kipi expensive?

How come hospitali ya mkoa i-cost 46bn na hostel zi-cost 10bn. Ni sawa na kununua TV kwa 2M Mlimani City Mall na mwingine akapata TV ile ile na ubora ule ule Kariakoo. The very same concept.

Kinachotusumbua waTZ tulio wengi ni WIZI na ubinafsi.
 
Magufuli is right. Very right. Let's be professional, not emotional. Hostel za UDSM na hospitali hiyo kipi expensive? How come hospital ya mkoa icost 46bn na hostel zicost 10bn. Ni sawa na kununua TV kwa 2M Mlimani City Mall na mwingine akapata TV ile ile na ubora ule ule Kariakoo. The very same concept. Kinachotusumbua waTZ tulio wengi ni WIZI na ubinafsi.

Ya kariakoo ikawa 0.9M.
 
I was there personally when he was talking about that hospital. Mtoa mada ulichokizungumza kina utofauti mkubwa sana na kilichokua pale ground zero. Ushauri wangu ni kwamba usubiri masaa machache utakuwa ushapata video ya hilo tukio and im sure if you are an honest person you will come to thank me
Kuna watu wako standby kukosoa chochote asemacho Rais
 
Magufuli is right. Very right. Let's be professional, not emotional. Hostel za UDSM na hospitali hiyo kipi expensive? How come hospital ya mkoa icost 46bn na hostel zicost 10bn. Ni sawa na kununua TV kwa 2M Mlimani City Mall na mwingine akapata TV ile ile na ubora ule ule Kariakoo. The very same concept. Kinachotusumbua waTZ tulio wengi ni WIZI na ubinafsi.
Kama kuna mwana UKAWA ataingia tena kwenye huu uzi basi bila shaka atakimbilia kuporomosha matusi
 
Ikiwa Architect, QS consultant,Contractor wqmekubaliana jengo linajengwa na kukamilika kwa billion 40,anakuja mkemia anasema hilo jengo kwa mchoro uleule mjenge kwa billion 10 na likamilike,natanguliza pole zangu kwa wananchi wanaoekwenda kutumia hilo jengo maana kitakachotokea hapo ni bora jengo na si jengo bora,,
hilo akakae yeye na mke wake na watoto wake. ubaya zaidi, wataenda kukaa watu wengine yeye yuko pembeni anaangalia kama linadondoka au la...mainjinia bwana..hahaha
 
Mnaosapoti hili its obvious mtakuwa ni wafanyakazi wa serikalini na nachelea kusema siku yenu itafika tuu, kwenye magazeti leo wameonyesha kufutwa kwa tender zote zilizokuwa zimetangazwa na watapewa TBA, je sekta binafsi watakula wapi?idadi wa wajiriwa katika sekta binafsi ni kubwa sana, kama tender zote wanapewa TBA itasababisha unemployment, low wages and hata uwezo wa kununua wa raia... uchumi anaotaka kuujenga ni uchumi katika misngi ipi?ya kuua sekta binafsi?ya kunyima watu kazi?kunyima watu chakula?
 
Bilioni 40?,hilo jengo ghorofa ngapi?

The good thing about this President is - MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. He hits the right targets. Ukweli ni kitu binadam wengi hawakipendi. Na yeye anajua hilo. Anasema tumesikia maneno matam imetosha. Sasa tusikie n machungu (facts and truth). Jengo la JK heart Institute nikisikia limecost about 80bn. Lakini it makes sense kwa jengo lenyewe. Na muundo wa jengo kwa matumizi yaliyokusudiwa ( heart operation theatres etc) sasa hospital ya mkoa icost 46bn? Wizi wa kalamu.
 
Back
Top Bottom