Jengo jipya la Wizara ya Mambo ya Nje

Jengo jipya la Wizara ya Mambo ya Nje

Nimepita hapa mtaa wa Garden na Chimara lilipo jengo hili la wizara ya mambo ya nje hapa jijini Dar es Salaam. Kwakeli kwa mtizamo wangu ni jengo hasaa! Si mchezo! Lakini maraa .. nikakumbuka kwamba wizara zote zimehamishiwa Dodoma[emoji15]‍♂️ . Nikapigwa butwaa! Jengo hili litatumikaje[emoji15][emoji15].
Picha mkuu
 
Hahahahha kaa! Wazee mtaniua na picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepita hapa mtaa wa Garden na Chimara lilipo jengo hili la wizara ya mambo ya nje hapa jijini Dar es Salaam. Kwakeli kwa mtizamo wangu ni jengo hasaa! Si mchezo! Lakini maraa .. nikakumbuka kwamba wizara zote zimehamishiwa Dodoma[emoji15]‍♂️ . Nikapigwa butwaa! Jengo hili litatumikaje[emoji15][emoji15].

Kuna ' threads ' zingine zinaturahisishia sana kujua aina ya IQ ' mfu ' aliyonayo aliyeanzisha. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Kuna ' threads ' zingine zinaturahisishia sana kujua aina ya IQ ' mfu ' aliyonayo aliyeanzisha. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu asante kwa mchango wako maridhawa. Umeheshimika sana. Naomba niishie hapa pia.
 
Hakuna wa kulikodi, kwasababu ya economic depletion, sasa hivi nenda kwenye mabenki lile nyoni la folen hakuna, sio kuwa watu wanatumia electronic transactions bali watu wanamiliki vihela kiduchu.
Sema ni wewe tu!
 
Mkuu wote tukijikuta na ku "assume" kwamba tuna "IQ KUBWA" sijui itakuaje, however this is a free country and a democratic one ( if it is at all) na nimeheshimu pia mchango wa wale waliojipima "IQ" zao nakuona za wengine ambazo hazijapimwa kua ni ndogo au kuzifananisha na mfu. I am practicing a true democracy.
 
Back
Top Bottom