Jengo jipya la Wizara ya Mambo ya Nje

Jengo jipya la Wizara ya Mambo ya Nje

Hili wazo la makao makuu kuwa Dodoma lilileta maana enzi za Ujamaa na duniani kukiwa na Cold War pia wakati ule lengo letu lilikuwa Africa iwe huru. Hiyo ilitufanya tuwe target ya maadui hasa makaburu. Dodoma kuwa mbali na bahari iliketa usalama.

Kwa sasa hivi wangezingatia maendeleo ya kanda. Kychagua mijibya mafao makuu ya kanda ilendelezwe na kutoa ajira kwa vijana
I have seen your point there.
 
Haya ndo maumivu ya mtu mmoja kuliamlia taifa. Kungekuwepo na majadiliano si dhani kama kweli kungekuwepo nia ya kuhamia kwenye mvua ya vumbi
Marais waliopita walijadiliana sana hawakufanikiwa kuhamia dom
huyu ameweza other things will flow naturally
 
Sababu zilizokuwa zikisisitiza makao makuu kuhamia Dom wakati ule kwa sasa sababu hizo hazina mashiko, naamini wakati ule kuhamia Dom sababu kubwa yalikuwa mawasiliano. Siku hizi mawasiliano mfano kwa njia ya simu almost 98% yako nchi nzima, pia kutoka kigoma au mwanza kwenda makao makuu Dar kwa wakati ule ilikuwa inachukua zaidi ya siku tatu kwa Tren, lkn baada ya barabara za Lami kuwepo, hilo tatizo limepungua. Naona kuthubutu kuhamia Dom sion kama ilikuwa ni kipaombele cha nchi, kwani kuna bado mambo ya msingi zaidi ya hayo.
Kwahiyo, Wafanyakazi walio wengi kimwili wako Dom lakini kimawazo wako Dar, ndo maana ijumaa jioni utaona ma STK, STL yakichanja mbuga kuja Dar kuja kupunguza Stress na kukimbia mvua ya vumbi.
 
hahahaha mkuu kumbe Dom inanyesha ya vumbi? hii ni kutoka ardhini kuja angani au ni kutoka angani kuelekea ardhini kama mvua za kawaida?
 
Kama ulitaka nchi nzima ifanye majadiliano kwa nini sasa tunachagua Raisi wa nchi, Wabunge na Madiwani?
Kwa sababu tunaamini watafuata katiba, sheria na taratibu tulizokubaliana, na pia watafuata mipango na bajeti walizopitisha wabunge na madiwani wetu.... Pia mipango yote ya Ujenzi na manunuzi ya mali zetu itafuata taratibu za manunuzi.
 
hahahaha mkuu kumbe Dom inanyesha ya vumbi? hii ni kutoka ardhini kuja angani au ni kutoka angani kuelekea ardhini kama mvua za kawaida?
Upepo ukivuma unachota vumbi linapepea angani, baada ya muda linashuka. ndo maana wakazi wa dodoma hushambuliwa magonjwa ya macho kuharibika, wait utaona matonya wengi kitambo.
 
Back
Top Bottom