SODIUM CYANIDE
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 691
- 1,166
Salamu sana ndugu wana Jf
Napenda kufahamu,je Chato iko mbioni kuwa makao makuu ya mkoa? Maana taasisi kubwa kubwa za kimkoa zimekuwa zikijengwa.
Hivi karibuni nimeona ujenzi wa jengo litakalokuwa makao makuu ya TANESCO huko,ni bonge la jengo na zuri kweli kweli.Pamoja kwamba sio vibaya kuwa mkoa mpya lakini ni wilaya zipi zitafanywa kuwa kuripoti mkoani Chato?
Wilaya: Katoro, Buseresere, Bwanga, Runzwewe, Buziku, Mganza, Buzirayombo, Runazi.😂😂😂😂😂. Mcheza kwao ........!!!