Jengo jipya la TANESCO wilayani Chato

Jengo jipya la TANESCO wilayani Chato

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
25,012
Reaction score
56,303
Huu ndio mchoro jinsi jengo la shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) litakavyokuwa mara baada ya kukamilika wilayani Chato mkoani Geita.
IMG_20191015_182510.jpeg
 
Sasa hivi umeme hadi vijijini. Hakuna tofauti kati ya chato na huko ulipo hivyo wanahaki ya kujengewa ofisi ya kisasa.
 
Salamu sana ndugu wana Jf
Napenda kufahamu,je Chato iko mbioni kuwa makao makuu ya mkoa? Maana taasisi kubwa kubwa za kimkoa zimekuwa zikijengwa.
Hivi karibuni nimeona ujenzi wa jengo litakalokuwa makao makuu ya TANESCO huko,ni bonge la jengo na zuri kweli kweli.Pamoja kwamba sio vibaya kuwa mkoa mpya lakini ni wilaya zipi zitafanywa kuwa kuripoti mkoani Chato?
 
Si vibaya ni maendeleo ajira zitaongezeka kutakua na wilaya ya katoro,buseresere kule kagera biharamulo itakatwa irudi mkoa wa chato na halmashauri ya wilaya ya chato viva magufuli
 
Si vibaya ni maendeleo ajira zitaongezeka kutakua na wilaya ya katoro,buseresere kule kagera biharamulo itakatwa irudi mkoa wa chato na halmashauri ya wilaya ya chato viva magufuli
Sasa Geita ilivyo ndogo vile kuimega tena sio sawa bora wangechukua Biharamulo na Kakonko then Chato Geita ibaki maana ni ndogo sana
 
Salamu sana ndugu wana Jf
Napenda kufahamu,je Chato iko mbioni kuwa makao makuu ya mkoa? Maana taasisi kubwa kubwa za kimkoa zimekuwa zikijengwa.
Hivi karibuni nimeona ujenzi wa jengo litakalokuwa makao makuu ya TANESCO huko,ni bonge la jengo na zuri kweli kweli.Pamoja kwamba sio vibaya kuwa mkoa mpya lakini ni wilaya zipi zitafanywa kuwa kuripoti mkoani Chato?

Ndio Chato patakua Mkoa
 
vipi kiongozi, weekend imeisha aje? ndio wajenge kiwanda cha ndege, cha benz na porshe na bentley. kuwa na a very blessed week ahead mkuu, God bless you

Mimi naomba tujenge viwanda vya gongo ili tuwauzie hao wenzetu, kuwaza kwa matakwa ya dunia hatujitambui hatutafika, ni heri tulinde utu wetu kuliko mali na kushindana nao, tumetambua historia yetu tuishi kama zamani tu enzi za mababu zetu na amani ilikuwepo, hawa mabeberu ni wapuuzi tu
 
u
Mbona unaugua sana ndugu.
Mbona Moshi kulijengwa lami kila wilaya je ulikuwa ndio makao makuu ya nchi?
siifananishe Moshi, na vitu vya kijinga,hio chato baada ya miaka 50 ndo itakua km Moshi na wakati huo moshi nahisi itakua km istanbul,kinachoukuza mkoa ni mapato yake na mzunguko wa pesa,,sio majengo ya serikali Mangi
 
Alisema makonda "baba nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe "
 
Mimi nina mpa big up mkuu wa nchi kwasababu Chato sio Malawi ni Tz.
Mambo ni fire kwa sasa maendeleo kila kona
 
Mnamsingizia mkuu makubwa ndio maana anawalipizia chattle.
 
Back
Top Bottom