Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,198
- 64,275
Inawezekana mkuu; safari moja uanzisha nyingineAhsante sana kwa meseji ya ku-encourage brother....
Inawezekana mkuu, kama nia unayoMotivational speakers bana.
πππ Kwa mfano watu wenye Mishahara hii ya kuungwa unga hata waonyeshe Nia kiasi gani haiwezekaniki kujenga ghorofa,yaani hata kwa mafao yao ya uzeeni hawawezi kujenga.Inawezekana mkuu, kama nia unayo
Kwa mfano kiasi gani? fafanua tukupe maujanja mkuuπππ Kwa mfano watu wenye Mishahara hii ya kuungwa unga hata waonyeshe Nia kiasi gani haiwezekaniki kujenga ghorofa,yaani hata kwa mafao yao ya uzeeni hawawezi kujenga.
kwa nini mkuu?
Hebu fanya Kama unawapa ushauri walimu,manesi namna ya kujenga ghorofa mkuu.Kwa mfano kiasi gani? fafanua tukupe maujanja mkuu
Kama ana chanzo kimoja cha fedha,inabidi afanye hivi:-Hebu fanya Kama unawapa ushauri walimu,manesi namna ya kujenga ghorofa mkuu.
Bwana wee yaani anachapa marimba ya mzungu kirahisi ukidhani hiyo slab ni kitu rahisi. Mziki wake ni sawa na kuanza kujenga nyumba nyingine. Nondo na mifuko ya cement inavyoteketea ni noma. Katika ufala niliowahi kufanya maishani ni kujenga nyumba ya ghorofa....yaani ni bora tuu ningezika mamillion ya slab kwenye mbususuMotivational speakers bana.
Utukome nani kakwambia hatuwezi jenga ghorofa?!! Tena utuacheHebu fanya Kama unawapa ushauri walimu,manesi namna ya kujenga ghorofa mkuu.
Duh hivi Maisha yao unayafahamu mkuu?Take home yenyewe hawana Ni madeni matupu,Familia inawaangalia etc.Nyumba ya kawaida tu inawashinda wanakuja kujenga kwa pesa za kustaafia.Kama ana chanzo kimoja cha fedha,inabidi afanye hivi:-
- Kwanza inabidi ajikatae mwenyewe,awe bahili
- Asitumie zaidi ya laki 2 kwa mwezi...
Teh teh labda ungempa hesabu zako za kihali halisi ndio angejua mziki hua unakuaje huko field mkuu.Bwana wee yaani anachapa marimba ya mzungu kirahisi ukidhani hiyo slab ni kitu rahisi. Mziki wake ni sawa na kuanza kujenga nyumba nyingine. Nondo na mifuko ya cement inavyoteketea ni noma. Katika ufala niliowahi kufanya maishani ni kujenga nyumba ya ghorofa....yaani ni bora tuu ningezika mamillion ya slab kwenye mbususu
Ni kweli, slab inakula hela sana; ndio maana tunashauri badala ya kununua marine board, kodi 'plate'; Pia ili usipate makali ya gharama kwa wakati mmoja, anza kununua matirio kwanza hata kwa miezi 5, baada ya hapo itafundi kwa kazi.Bwana wee yaani anachapa marimba ya mzungu kirahisi ukidhani hiyo slab ni kitu rahisi. Mziki wake ni sawa na kuanza kujenga nyumba nyingine. Nondo na mifuko ya cement inavyoteketea ni noma. Katika ufala niliowahi kufanya maishani ni kujenga nyumba ya ghorofa....yaani ni bora tuu ningezika mamillion ya slab kwenye mbususu
ππππ my apology mkuu.Utukome nani kakwambia hatuwezi jenga ghorofa?!! Tena utuache
Apology accepted....baada ya miaka miwili ntakutumia picha ya kigorofa changu πππππ my apology mkuu.
Ndio maana nakazia pale,ukiruhusu mfuko wako wa fedha utoboke..utatoboka kweli; kama pato lake 'net' laki 5, atumie laki 3 kwenye ujenziDuh hivi Maisha yao unayafahamu mkuu?Take home yenyewe hawana Ni madeni matupu,Familia inawaangalia etc.Nyumba ya kawaida tu inawashinda wanakuja kujenga kwa pesa za kustaafia.
Karibu mtaani ujionee Hali halisi boss.
Siku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business.Ni kweli, slab inakula hela sana; ndio maana tunashauri badala ya kununua marine board, kodi 'plate'; Pia ili usipate makali ya gharama kwa wakati mmoja, anza kununua matirio kwanza hata kwa miezi 5, baada ya hapo itafundi kwa kazi.
Inawezekana,chukua maamuziApology accepted....baada ya miaka miwili ntakutumia picha ya kigorofa changu π