BOB LUSE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 3,778 Reaction score 3,321 Nov 2, 2017 #1 Tanzania ya viwanda ni ya kusadikika kwa ukatikaji wa umeme ulivyoshamili nchini Mwenye kuuza jenereta ya KVA 4 mpaka 6 awasiliane.ninusuru kiwanda changu cha vyerehani vinne in box plz.
Tanzania ya viwanda ni ya kusadikika kwa ukatikaji wa umeme ulivyoshamili nchini Mwenye kuuza jenereta ya KVA 4 mpaka 6 awasiliane.ninusuru kiwanda changu cha vyerehani vinne in box plz.
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,814 Nov 2, 2017 #2 Mkuu, una sh ngap?