Jenerali Ulimwengu kuhusu Tundu Lissu na urais wa TLS

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,955
8,106
Leo nimekutana na makala murua ya Jenerali ulimwengu katika gazeti la The East African akimuelezea Tundu Lissu na kwa nini kina Mwakyembe wanaogopa Lissu kuchukua urais wa TLS. Japokuwa ilinibidi kutumia dictionary kuyaelewa maneno kadhaa ya jamaa, lakini 'it's worthy it.
Ulimwengu ni Legendary to say the least.
1488127011249.jpg
 
View attachment 474795
East African ni gazeti maruhuni lililopigwa marufuku Tanzania haliuzwi wala kusambazwa au huna habari?
 
Leo nimekutana na makala murua ya Jenerali ulimwengu katika gazeti la The East African akimuelezea Tundu Lissu na kwa nini kina Mwakyembe wanaogopa Lissu kuchukua urais wa TLS. Japokuwa ilinibidi kutumia dictionary kuyaelewa maneno kadhaa ya jamaa, lakini 'it's worthy it.
Ulimwengu ni Legendary to say the least.
View attachment 474795
Jenerali ulimwengu anafahamika, anausongo Na serikali tangu enzi zile alipoambiwa yeye Ni mrundi Si mtanzania. Siku zote kwenye makala zake anaikandia serikali Na anamuunga mkono mtu yeyote anaeibuka dhidi ya serikali, hata awe a mental case !
 
Kwa wasiojua kidhungu...

Generali anamaaminisha hivi...Lissu hafai kuwa Rais wa TLS kwakuwa ni mtukutu na ana kiburi. Pia ameendelea kusema kuwa in this time of having arbitrary authority yaani Lissuu ataifanya TLS kuwa chama cha siasa na kuacha kufanya kazi za kiuwakili za kutetea wanyonge.

Huo msaada nmetoa kwa wasiojua kidhungu.
 
Kwa hiyo hii iende kwa wanachama wa CCM aka Lumumba FC
 
Back
Top Bottom