Jenerali Ulimwengu: " Ewe Jakaya Mwema!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jenerali Ulimwengu: " Ewe Jakaya Mwema!"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sumaku, Oct 3, 2010.

 1. S

  Sumaku Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naitafuta makala hii ya Jenerali Ulimwengu. Ilitoka katika jarida la Rai ikiwa na sehemu kama tatu au nne. Ilikuwa ni barua ndefu fulani ikielezea jinsi Ulimwengu alivyomfahamu Jakaya Kikwete tangu enzi za Umoja wa Vijana wa TANU. Hivi Ulimwengu alizungumzia nini zaidi katika barua ile ndefu. Mwenye nayo atuingizie humu.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa upole, heshima na taadhima, alikuwa anamtahadharisha mkuu mpya wa nchi kuongoza nchi kwa kufuata sheria, maadili na kuzingatia utawala bora -- kwamba ndiyo njia pekee ya kukubalika kwa wananchi. Hakuliacha suala la ufisadi -- kwamba asipokuwa makini naye atajikuta ametumbikia katika dimbwi hilo.

  Ni dhahiri JK aliyapuuza maonyo hayo na ndio maana sasa hivi amejikuta katika tope kubwa na kulazimika kutumia nguvu za ziada kukubalika katika uchaguzi huu unaomkabili.
   
 3. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ushauri huo hautekelezwi
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mifano hai ipo wapi mkapa,sumay,malecela,Dr.Salim ahmed, kingunge???

   
 5. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Marksman tuwekee barua hiyo kamili kama unayo
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Ulimwengu ni mnafiki tu, kwani JK alipoanza tu term yake Ulimwngu alikuwa mmoja wa wapambe wake kwa kusema kwa mara ya kwanza ndio anasikia Rais anakemea rushwa jukwaani baada ya Mwalimu Nyerere. Ni kwa sababu tu alikuwa na bifu na Mkapa!
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ulimwengu hakupata kuwa mpambe wa JK. Uchaguzi wa 1995 ndiyo alikuwa mpambe wa Mkapa na baada ya gazeti lake la The African kutoboa kashfa ya Hassy Kitine (in 1998), walikosana, kwani Mkapa hakutaka Ulimwengu awe anatoboa mambo ya kashfa ya ufisadi.
   
 8. A

  Akiri JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  binafsi nilizisoma zile barua za wazi za jeneral, na naweza mtetea. kama ilivyokuwa kwa watanzania wengi akiwemo jeneral ushindi wa kikwete uionesha kama sasa nuru imewadia. kiasi kwamba hata jeneral akawa anadhani kazi yake ya uandishi wakuikosoa serikari kwamba sasa basi maana ukombozi umefika na ndio maana hata wakaamua kuliuza gazeti la Rai.
  nilisoma barua ya kwanza mpaka ya mwisho yaani mwandishi alikuwa anaona kazi yake basi majibu yamepatikana baadaye jeneral alituomba radhi watanzania toleo la kwanza la Raia mwema. akaamua kurudi baada ya kuona mambo mdembwedo kila siku ikulu kuna sikukuu. waandishi aliowaachia akiwemo magid mjengwe maana ndiye aliyeachiwa kuandika Rai ya jenerala lakini majidi akanunuliwa na mafisadi.
  kwa hiyo msamehe jeneral sababu aliweka matumaini yake katika sehemu isiyo na matumaini.
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huku sasa ndo kukata tamaa!
   
 10. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Jenerali ni patriotic kweli, hawezi kuwa mpambe wa JK hata siku moja. He always speaks the truth!!!

  CCM hawawezi kumpenda mtu wa namna hii!!! Stuka...
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  sasa hapo unafiki wake uko wapi? kwa namna hiyo unamaanisha hata Rostam akisema jk amemwonue mramba kuwa ni safi ilhali anakesi mahakamani basi rostam atakuwa mnafiki kwa kikwete?
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  asante kwa mrejesho huu..Ni kweli Ulimwengu hajawahi kumsifu JK hata siku moja
   
 13. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2010
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hah hah hah! "that one" you are all over the place, huku unauma kule unapuliza!
  "Saluting new communications director of Dr Slaa"
   
 14. m

  maggid Verified User

  #14
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Akiri,

  Ulichosema kuhusu mimi ( Maggid Mjengwa) ni UONGO MTUPU. Kama ni mwungwana uniombe radhi.
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  JK NA ULIMWENGU chungu kimoja ni sawa na Myahudi na Mpalestina kukaa nyumba moja au USA na ALCAIDA kwa ndege moja
   
Loading...