Jenerali Ulimwengu amuombe msamaha Spika Ndugai kwani hakuna aliyewahi kushindana naye na kushinda

Jenerali ni taasisi?

Yes JENERALI ULIMWENGU IS AN INSTITUTION!! Pengine huelewi maana ya taasisi.
Msamaha wa nini tena?. Spika amesema anatoa onyo asiendelee...kumaanisha mpaka hapo yameisha na hakuna kesi.

Ila kama Mzee Jenerali ataona bado anajisikia kutumia uhuru wake wa kutoa maoni basi ndio tutasubiri tuone.

Hivi sheria ya BUNGE inafafafnua mamlaka ya SPIKA ni kwa Bunge na wabunge tu au hata wasio wabunge? Je SPIKA kumuita mtu raia asiyekuwa mbunge kwenye kamati zao ni sahihi?
 
Spika mjinga anapotumia vitisho kupambana na ukweli. Huyu atatamba muda mfupi sana kwasababu ana jeuri ya madaraka, lakini akitoka madarakani atapata msongo wa mawazo kwa jinsi ukweli wake utakavyowekwa hadharani.
Huu mfumo wakuwa na Spika anayetokana na jimbo siyo mzuri.Kuwe na tume maalum yakumpata Spika.
Eg Jimbo lake nani huwa anamsemea.
Mifumo mingi sana niyakumtukuza mteule,mfano
Jaji kikngozi alikuwa mhimili was mahakama.
Leo Mwanasheria mkuu wa serikali (Mhimili wa serikali ndani ya mhimili wa bunge)
Usawa wa Uhuru uko wapi
 
Kwa kosa haniiiii
 
Huyu mgalilaya wa kongwa anajitutumua kugombana na kila mtu, ni wazi kwamba bado hajamalizana na Prof. Assad, sasa anatafuta balaa kwa Jenerali Ulimwengu, Spika anakosa uadilifu sana kwa kujitutumua kwa kila jambo analolisikia.

Wakati mwingine ajifunze kwa maspika waliopita especially Chief Adam Sapi Mkwawa na Pius Msekwa Hawa walifanya kile cheo kuonekana sio Cha kisanii kama huyu bwana anavyoharibu na kubagaza hicho cheo au hiyo ofisi.

Spika ni mkuu wa Parliament ambayo ni legislature na National Assembly, huyu jamaa haelewi kwamba huo mhimili ni mzito sana, aangalie wakuu wa mihimili mingine walivyotulia, naongelea Mahakama na Executive, huyu mtu nahisi it's time kuandaa petition ya kumuomdoa hata Kama haitafa ikiwa Ila itamfundisha adabu.

Spika must GO
 
Fikiria mwenzio anatumia bakora, ilhali hasimu anayo mikono mitupu🏃.
 
Mzee Jenerali Ulimwengu hana ugomvi na mtu. Yeye alinukuu maneno ya scavenger wa majalalani, hajakashifu mtu
 
Nani kwani yule wa zuzu....basi sawa hana lolote atulie ni zuzu tu anaongoza ma zuzu
 
Reactions: Qwy
Amuombe radhi kwa kosa gani! Yeye si mbunge na alichokisema ni mtazamo wake binafsi kutoka kichwani mwake, labda unataka kutuambia ni kosa kufikiri kinyume na mtazamo wa Ndugai, na mtazamo wa Ndugai si sheria ya nchi, uoga ni adui wa binaadamu.
 
Mayalla your hopeless!
 
Ila ukimwi imeniathiri kichwani kama mwendazake
 
Wacha woga wa kiccm wewe. Huyo andunje kwa sasa mweupe tu,alitamba enzi za yule aliyeko motoni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…