VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mkuu wa Majeshi ya Burundi,Jenerali P. Niyongabo amedai kuwa jaribio la mapinduzi nchini Burundi yameshindwa. Jenerali Niyongabo amedai kuwa wanajeshi watiifu kwa Rais Nkurunziza wanadhibiti sehemu muhimu za Burundi ingawa kuna mapambano yanayoendelea.
Wakati huohuo,Rais Nkurunziza amewasifu wanajeshi watiifu kwake na kutoa msamaha kwa waasi ingawa hayuko Burundi. Taarifa zaidi na DW jioni hii
Mzee Tupatupa (Arusha)
Wakati huohuo,Rais Nkurunziza amewasifu wanajeshi watiifu kwake na kutoa msamaha kwa waasi ingawa hayuko Burundi. Taarifa zaidi na DW jioni hii
Mzee Tupatupa (Arusha)