Wewe kweli kiumbe wa ajabu sana. Unawezaje kuita sehemu yeyote ya Tanzania kuwa sina ndugu pale?? Ni wapi ambapo siruhusiwi kuoa au kuolewa? Huo ubaguzi wako hautakufikisha mbali. CDF ana sehemu gani katika kuchunguza mauaji?? Usimtwishe zigo la wengine. Kama hao wahusika wameshindwa kazi waondoke wawekwe wenye uwezo wawafurumushe hao magaidi watoke pangoni.Angeuwawa mwanao au mdogo wako ungeina umuhimu wa vyombo vya vyetu kufanya kazi ya haraka na kwa ushirikiano
Ila kwa kuwa iringa huna mtoto basi huu unaweza it a ni matumiz mabaya fedha za kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maafa kama maafa mengine na jeshi popote pale kwenye maafa ndani ya nchi linakwenda na kujitolea kwa ajili ya raia wake. Umesahau ya kibiti?Kwa hiyo siku hizi jeshi la wananchi linahusika na ulinzi wa ndani. Tutaona mengi kwenye awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ninavyofahamu mimi mambo hayo ni kazi ya jeshi la polisi. Jeshi la wananchi kazi yake ni kulinda mipaka.Hayo ni maafa kama maafa mengine na jeshi popote pale kwenye maafa ndani ya nchi linakwenda na kujitolea kwa ajili ya raia wake. Umesahau ya kibiti?
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Majeshi ya ulinzi yako tayari, yanatoa ushirikiano kwa mamlaka nyingine kwenye maafa majanga, muda wowote ule hayana mipaka.Kwa ninavyofahamu mimi mambo hayo ni kazi ya jeshi la polisi. Jeshi la wananchi kazi yake ni kulinda mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mtu wa kubisha bisha tu ndugu nenda kalisome mwenyeweKwa ninavyofahamu mimi mambo hayo ni kazi ya jeshi la polisi. Jeshi la wananchi kazi yake ni kulinda mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tu tukubaliane kutokukubaliana. Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana kujishughulisha na mambo kama hayo. Hayo ni majukumu ya IGPMajeshi ya ulinzi yako tayari, yanatoa ushirikiano kwa mamlaka nyingine kwenye maafa majanga, muda wowote ule hayana mipaka.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Koroshow zinauzwa Alibaba na Wakenya feki.Ameshamaliza kununua korosho??!! Si ndio huyu alimdanganya MAGUFULI atanunua korosho kwa siku tatu????!!! Yajayo yanahuzunisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukubwa wake utamsaidia nini ikiwa hao raia anaowalindia mipaka ndio wanakufa kila kukicha? Je unajua kati ya hao watoto wanaofariki ni nani kati yao atakuja kuwa kuwa nani miaka ijayo? Hiyo ni sehemu yake ya kazi na hapo anatoa msaada na ushirikiano kwa vyombo vingine vya dola ni sehemu ya jukumu lake wakati wa amani kutoa msaada kwenye maafa.Naomba tu tukubaliane kutokukubaliana. Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana kujishughulisha na mambo kama hayo. Hayo ni majukumu ya IGP
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri LugolaWaziri Lugola yupo wapi? IGP? Huyu CDF hana kazi za kufanya huyu?
Wajibu wa JwtzKwa hiyo siku hizi jeshi la wananchi linahusika na ulinzi wa ndani. Tutaona mengi kwenye awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui hata mipaka ya majeshi na majukum yanapasishwa vipi civics hii imekupita kushoto sasa chemistry ungeweza?CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,kwahiyo yeye kwenda njombe ni anatekeleza wajibu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwe ukweli wa matukio hayo hautasemwa.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amewasili Mkoani humo kufuatilia mwenendo wa oparesheni ya kifuatilia matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto
Mkoani humo kiliundwa kikosi kazi maalumu cha kuchunguza na hatimaye kukomesha mauaji hayo ya kinyama
Jenerali Mabeyo amesema uchunguzi wa awali unaonesha matukio hayo yanafanywa kifamilia zaidi
Ameongeza kuwa ni lazima yadhibitiwe ili yasiwafikie watu wengi zaidi
Kwa majibu yako umedhiirisha ukilaza wako,kasome majukumu ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama then ndio uje kubisha.Hujui hata mipaka ya majeshi na majukum yanapasishwa vipi civics hii imekupita kushoto sasa chemistry ungeweza?
acheni ubishi..Kwa majibu yako umedhiirisha ukilaza wako,kasome majukumu ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama then ndio uje kubisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulinzi wa amani nje ya nchi!! MBONA HUJAMALZIA HAPO?Wajibu wa Jwtz
Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa
Kushiriki ulinzi wa amani
Afande CDF yupo sawa kabisa!!
5/5