Jenerali aanza kwa mikwara

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12483292_1017022181695573_1566422769_o.jpg
 
Mikwara? tulieni muone sasa...

mm kwa sasa Nina imani na Rais na wateule wake wote...hata Maswi Nina imani nae, msilolijua ni kwamba, Usalama wa Taifa na Takukuru kwa sasa upo kazini kwa kiwango cha juu sana, kwa hiyo TISS na Takukuru wana-monitor kila kitu kwa kila MTU.

Chezea mwingine siyo magufuli.
 
Serikali ilibidi iendeshwe namna hii toka enzi za uhuru. Ni kwa bahati mbaya tu nchi yetu ilitawaliwa na vichwa maji kwa miongo mitatu! Sasa kazi ya kuijenga nchi imeanza.
 
....nataka hawa niliowateua wawe monitored kwa asilimia 100,kuanzia nyendo zao na taratibu zao za siku kwa siku.....
teh teh teh...../
 
Kwasasa kazi zitafanyika sana tu hakuna kucheka na yeyote mzembe lazima tubarazane kweli ili heshima na ustawi wa Taifa letu uendelee kwa kasi zaidi.
 
Mikwara? tulieni muone sasa...

mm kwa sasa Nina imani na Rais na wateule wake wote...hata Maswi Nina imani nae, msilolijua ni kwamba, Usalama wa Taifa na Takukuru kwa sasa upo kazini kwa kiwango cha juu sana, kwa hiyo TISS na Takukuru wana-monitor kila kitu kwa kila MTU.

Chezea mwingine siyo magufuli.
Wanao beza watajuta siku wakija kuingia kati ndo watajua hawamu ya 5 maana yake nini Tz
 
Miaka ya 72 na 73 jeshi lilikuwepo kanda ya kaskazini kupambana na ujangili.....maganikio yalikuwa kiasi gani...????
 
Back
Top Bottom