Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Akili ya jirani ongeza na ya kwako
mbona kama kama diamond anatumia garama kubwa sana kuulinda umaarufu wake je kiuchumi kweli ataweza kulingana hata chamelion kweli?unawexa kuta alikiba anamzidi mkwanja benki maana sifa nyingi sana na anatumia pesa sana kuhonga watu wa media hadi mashabiki
Ukija huku hatuvai suti kama tupo bungeni uwe unajuwa kutofautisha haya majukwaa. Na ukija kugunduwa mimi ndio Babu Tale si ndio utazimia kabisa.
Mjini bila fitna maisha hayaendi, hii ndio radha ya celeb, sasa wote tumfagilie Chibu utamu utatoka wapi? Bila ya sisi hawa watoto hawatofika popote kwahiyo sisi ni msaada mkubwa kwao ili waendelee kukomaa.
haaaa!!! kumbe huyo ha baba mwenyewe alikuwepo??? sasa naombeni aliyekuwepo anisaidie kuelewa hapa, so wakati wasaniii wengine wanaperform mashabiki walikuwapo wachache, si ndio, alivyopand RAIS wakajazana sasawale waliokodiwa wakachanganyikana na wale wachache waliokuwepo aliosema ha baba ndio kitu kikawa nyomi hivyo?? si ndio......???Ila msisahau hiyo shoo haikuwa ya daimondo peke yake....mkaibaka!!!!
Hbaba alikuwepo
Nature wa sintah alikuwepo
Yamoto band walikuwepo
Anachomind huyo ni kuwa dai anafanya kama ilikua one man show wakati na wengine walikuwepo
Mkuu hapo sasa ndio utakapojua CHIBU anajua kucheza na akili za mashabiki wake, na hii ndio silaha yake kubwa
Nenda kwenye social media za wasanii wote walioshiriki hakuna hata mmoja aliyelipa coverage yakutosha kama Chibu, yaani hapo kuanzia mapokezi , sound check na shows yenyewe kwa mtu aliyeko Nijeria anaye mfollow chibu ataamini ile ilikua show ya mtu mmoja tu........ Kwanini?
Ana kamera man wake maalamu anacheza na angle ukiziona hizo picha utajua anayepiga anajua anakenga nini
In short Chibu anajua kucheza na media kuhakikisha unajua anafanya nini, nimecheck acc ya Nature nayamoto band masikini hawajapost chochote zaidi ya matangazo watakua kirumba
Unajua mtu anapoina kwenye social media yako unapost unajaza watu vile anaamini wewe ni bora na hata muandaa tamasha anavutika kukuita maana anaamini unauzika akiona tu post zako
Kilichopo ni kwamba fursa zilizopo wasanii hawazitumii mwenzao akizitumia wanaanza majungu
Ukweli usiopingika ni kwamba Chibu alidai alipwe pesa kwa kila tiketi itakayouzwa na si kumlipa kama walivyolipwa akina h baba
Yaani kama tiketi ni buku 5 basi yeye anataka buku mbili au tatu, fanya mara elfu60+ utapata idea anaweza kuwa amevuta ngapi
Hii inamfanya nayeye kuwa muandaaji na anapata faida kubwa zaidi kuliko kulipwa tu, una dhani kwanini amejua idadi ya tiketi na akaifurahia?
kama anauwezo wa kuwanunua hao watu wote ninaowaona hapo basi huyu dogo ni shidreeeeee!! kajamaa ni kabillionea basiii, coz hao watu hapo wapo toka saa 6 mchana, mond kapanda kucheck sound watu wakapagawa mbaya, wakamsubiri more tha 12 hours mpaka alipopanda @ 8 usiku hakuna aliyekuwa amejisogeza mahali, so if that patient its was for money basi walilipwa ghali saaaanaaaaaaaa!! haiwezekani iwe ni kwa kupewa tiketi tuu wakamsubiri mtu wasiompenda that long!!!? mnaosema hao watu hapo uwanjani wamenunuliwa try to relate! other wise you are just haters as we already knows you!
kiba alivyonunua team wakaunganisha nguvu kama UKAWA mbona hamkusema????? eeee!!???? mbona hamkusemaaaaa!!???? au unafikiri hatujui???? hahahahahaaaa kama nawaona utakavopanic!! mxiuuuuuuuwwwww zetu
Mi nampenda kiba ila kiukweli kumpinga diomond ni sawa na upunguani!!.. unaanzaje kumpinga mtu kama huyo sasa kama sio ujinga?? Kiba uwezo anao ila kuna sehemu anakosea na anakosea zaid anapotaka kushindana na domo ktk kipindi hiki
Hakuna kitu hapo kwanza mashabiki wameingia bure wote tumeipata ishu kamili kitu kiba bana
Hapa hata mimi nimekuelewa hawa wavuta bangi wanaokwenda na kandambiri studio wanataka Diamond ndio awapromote kwenye social media zao?
Kwahiyo hawa kenge hata wakialikwa kufanya show kwenye matamasha makubwa kama Kora watasubiri waandalizi ndio wawakusanyie picha za matukio? Kweli ujinga ni kipaji na maisha ya Temeke pia yana athari zake.
Mkuu hapo sasa ndio utakapojua CHIBU anajua kucheza na akili za mashabiki wake, na hii ndio silaha yake kubwa
Nenda kwenye social media za wasanii wote walioshiriki hakuna hata mmoja aliyelipa coverage yakutosha kama Chibu, yaani hapo kuanzia mapokezi , sound check na shows yenyewe kwa mtu aliyeko Nijeria anaye mfollow chibu ataamini ile ilikua show ya mtu mmoja tu........ Kwanini?
Ana kamera man wake maalamu anacheza na angle ukiziona hizo picha utajua anayepiga anajua anakenga nini
In short Chibu anajua kucheza na media kuhakikisha unajua anafanya nini, nimecheck acc ya Nature nayamoto band masikini hawajapost chochote zaidi ya matangazo watakua kirumba
Unajua mtu anapoina kwenye social media yako unapost unajaza watu vile anaamini wewe ni bora na hata muandaa tamasha anavutika kukuita maana anaamini unauzika akiona tu post zako
Kilichopo ni kwamba fursa zilizopo wasanii hawazitumii mwenzao akizitumia wanaanza majungu
Ukweli usiopingika ni kwamba Chibu alidai alipwe pesa kwa kila tiketi itakayouzwa na si kumlipa kama walivyolipwa akina h baba
Yaani kama tiketi ni buku 5 basi yeye anataka buku mbili au tatu, fanya mara elfu60+ utapata idea anaweza kuwa amevuta ngapi
Hii inamfanya nayeye kuwa muandaaji na anapata faida kubwa zaidi kuliko kulipwa tu, una dhani kwanini amejua idadi ya tiketi na akaifurahia?
haaaa!!! kumbe huyo ha baba mwenyewe alikuwepo??? sasa naombeni aliyekuwepo anisaidie kuelewa hapa, so wakati wasaniii wengine wanaperform mashabiki walikuwapo wachache, si ndio, alivyopand RAIS wakajazana sasawale waliokodiwa wakachanganyikana na wale wachache waliokuwepo aliosema ha baba ndio kitu kikawa nyomi hivyo?? si ndio......???
huyu dogo kazi anaijua huo ndo ukweli japo mie sio mshabiki wake kivile but nasikilizaga miziki yake kwa sababu ya wadogo zangu wakiweka,
shida yake ni moja anapenda sifa sana ni mtu wakujionyesha sana hafanyi jambo bila kujitangaza, hata akinunua boxer mpya anataka hadi swizland wajue
kiufupi ni mswahili sana amekaa kuchambanachambana ule wimbo aloimba na hadija kopa nasema nawe zile ndo zinaendana na tabia zake.
better late than never... Washtue na wenzio.
huyu dogo kazi anaijua huo ndo ukweli japo mie sio mshabiki wake kivile but nasikilizaga miziki yake kwa sababu ya wadogo zangu wakiweka,
shida yake ni moja anapenda sifa sana ni mtu wakujionyesha sana hafanyi jambo bila kujitangaza, hata akinunua boxer mpya anataka hadi swizland wajue
kiufupi ni mswahili sana amekaa kuchambanachambana ule wimbo aloimba na hadija kopa nasema nawe zile ndo zinaendana na tabia zake.
hilo sio tatizo, yeye ndio msanii anaosemwa saaaaaana,, so kwa kila kitu lazima awape amani mashabiki.. na wanakwambia adui muumize kwa mafanikio na nguvu yake katika media ndio inafunga kazi... kwa wenzetu mbele kawaida saana usipanik
afu suala la kusema uswahili, kwani we mzungu au???
uswahili huwa maana nyingi am on the side of literal meaning.