Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

Mi nampenda kiba ila kiukweli kumpinga diomond ni sawa na upunguani!!.. unaanzaje kumpinga mtu kama huyo sasa kama sio ujinga?? Kiba uwezo anao ila kuna sehemu anakosea na anakosea zaid anapotaka kushindana na domo ktk kipindi hiki

Shida sio kushindana.

Jamaa hana cha maana anachofanya mjini hapa na mbaya zaidi analazimisha kuwa juu wakati hata video inasuasua.
 
Shida sio kushindana.

Jamaa hana cha maana anachofanya mjini hapa na mbaya zaidi analazimisha kuwa juu wakati hata video inasuasua.

Kiba hawezi jilinganisha ata na Mavoco huo ndio ukweli mchungu amshukuru sana platnumz huyu jamaa la sivyo tusingemsikia tena na ata leo diamond akisema aache mziki kiba atatafuta shughuli ingine ya kufanya kwani kama ulivyosema anasukumwa hasukumiki.
 

we jamaa me huwa nakuelewa sana.
 
ata hiyo tuzo aliyoshinda juzi kama asingekuwepo diamond kwenye hiyo category kiba asingeshinda ni promo tu kutoka kwa antidiamond ambao wengine walikua wanansupport before kama hao kina Wema. Jamaa sa hivi anashine kwa kudra za platnumz.
 

acha uzushi ww ulikuwepo wakati anawahonga umekalia uzushi na kuropoka vitu usivovijua loooooohhhh.....
 
Ila msisahau hiyo shoo haikuwa ya daimondo peke yake....mkaibaka!!!!

Hbaba alikuwepo

Nature wa sintah alikuwepo

Yamoto band walikuwepo
Dah! Kweli aisee manake hata Rwanda ilikuwa hivyo hivyo... kulikuwa na wasanii kibao tu lakini watu wanazusha kwamba Diamond alijaza show, si unaona hapa:


The concert had a large number of spectators

Although Diamond sings most of the songs in playback, it made a great satisfaction to the spectators to his movements that proved his preparations for this concert and the intense joy of the spectators shows the love that Rwandans has to his music.



Mr. Diamond Platnumz on the stage



Fans showed how much they have been waiting for him with great love



Diamond with his dancing group were spectacular



After repeating this song several times, Diamond called fans on thé stage and they danced "Number One" hit

Mara eheee, haya ndo kwanza yanaanza kutokea:






King James sang last and he had a little number of fans because after the performance of Diamond they began to go back home!!!!

Hayo maneno ya kizungu hakuna langu hata moja, kama ni uzushi ni Wanyarwanda wenyewe, hawa hapa!!!
 
Mi nampenda kiba ila kiukweli kumpinga diomond ni sawa na upunguani!!.. unaanzaje kumpinga mtu kama huyo sasa kama sio ujinga?? Kiba uwezo anao ila kuna sehemu anakosea na anakosea zaid anapotaka kushindana na domo ktk kipindi hiki

Baeleze baeleze!!!!!
 
Manin.. Ally Kibaka haniziki hata mm kwa mkwanja na life langu la kubangaiza. Ana nini yule

Ahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!anakuzidi mikopo aisee maana anadaiwa huyo utafikiri serikali ya kikwete!!
am just saying!!!!
 
Diamond ana kipaji kikubwa ila ana fanikiwa kwa vile kwanza si mchoyo ame ajiri watu kila sehemu inayo itajika anaishi na wenzie kama familia moja pia ana juhudi katika na usubutu wa kufanya mambo makubwa pasipo kulizika

Haswaaa mdau umenena vyemaa!!!ukitoa nawe utapewa!kwa wenzetu kule kutwa kucha wanafukuza madancer!!
 

Siku zote hizi mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake!sasa wenzangu na mimi wamekalia kumpelekea majani mbuzi aliyekibandani halafu wanategemea afanane na anayezunhuka na kamba porini kweli!?!?

Chibu ni hazina kwa taifa hili!
am just saying!!!
 
Team pinzani wamesema hizo tikiti ni za bure mashabiki walinunuliwa. Hata ile party walisema pia walivaiwa tikiti za bure.

Nimewakilisha tu. Ila mie naupenda mziki wa domo. Whatever he does in his private time i dont freaking care
kama anauwezo wa kuwanunua hao watu wote ninaowaona hapo basi huyu dogo ni shidreeeeee!! kajamaa ni kabillionea basiii, coz hao watu hapo wapo toka saa 6 mchana, mond kapanda kucheck sound watu wakapagawa mbaya, wakamsubiri more tha 12 hours mpaka alipopanda @ 8 usiku hakuna aliyekuwa amejisogeza mahali, so if that patient its was for money basi walilipwa ghali saaaanaaaaaaaa!! haiwezekani iwe ni kwa kupewa tiketi tuu wakamsubiri mtu wasiompenda that long!!!? mnaosema hao watu hapo uwanjani wamenunuliwa try to relate! other wise you are just haters as we already knows you!
 
kiba alivyonunua team wakaunganisha nguvu kama UKAWA mbona hamkusema????? eeee!!???? mbona hamkusemaaaaa!!???? au unafikiri hatujui???? hahahahahaaaa kama nawaona utakavopanic!! mxiuuuuuuuwwwww zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…