Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,341
- 105,171
Unalisema kwa kujificha tu, ila wewe ni pure YangaSijawahi kuwa Yanga hili nalisema Kila siku.
Sijajua kwanini swala la wewe kujiweka wazi kuwa ni shabiki wa Yanga liwe siri?
Kushabikia Yanga sio aibu come join them, sioni sababu ya kukufanya uishi mafichoni wakati mna kikosi kizuri, mlichukua ubingwa plus unbeaten
NB: Wote tunafahamu kwamba kuwa neutral ni swala ambalo haliwezekani labda kwa unafki