Jemadari Said; kielelezo cha Wachambuzi wa mchongo nchini

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
30,024
68,946
Sijawahi kuwa Yanga hili nalisema Kila siku.
Unalisema kwa kujificha tu, ila wewe ni pure Yanga

Sijajua kwanini swala la wewe kujiweka wazi kuwa ni shabiki wa Yanga liwe siri?

Kushabikia Yanga sio aibu come join them, sioni sababu ya kukufanya uishi mafichoni wakati mna kikosi kizuri, mlichukua ubingwa plus unbeaten

NB: Wote tunafahamu kwamba kuwa neutral ni swala ambalo haliwezekani labda kwa unafki
 
Exy

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
672
964
Nimejaribu kutazama magoli yote mawili, na nimeona yote ni magoli halali.

Offside ni pale ambapo mpira unapigwa, timu inayopiga huo mpira, huo mpira unaelekea ktk mlengo upi? Kuna mtu ameushiriki kuonesha nia ya kutaka kuhusika ktk mpira huo ulipopigwa? Na kama ameonesha nia, je yupo mstari sawia dhidi ya adui?

1. Goli la Simba
Wakat mzamiru anapiga ule mpira, mlengo wake ni kulenga goli na sio pasi. Na pale ulipopigwa, mchezaji wa mwisho wa Simba ambae ni Boko, hakuonesha nia ya kuuingilia ule mchezo, aliupisha ule mpira kwa kuruka kuupisha upite. Kama angeonesha nia yoyote ya kuucheza ule mpira, basi ingekuwa ni Offside.

2. Goli la Mbeya City
Maelezo yake hayana tofauti yoyote na ya Simba, ni goli halali kabisa.

Mwisho: kwa Simba hii michuano ya CAF tuona mengi msimu huu.
😅😅😅😅 Hovyoo kabisa!!, Yaani hata hujatambua kitendo cha Bocco kuuruka mpira nikuhusika moja kwa moja na ufungaji wa gori?, Hujaona kama Bocco kamhadaa gorika?, Hukuona kama Bocco amemkinga gorikipa?.
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
16,082
26,117
Hovyoo kabisa!!, Yaani hata hujatambua kitendo cha Bocco kuuruka mpira nikuhusika moja kwa moja na ufungaji wa gori?, Hujaona kama Bocco kamhadaa gorika?, Hukuona kama Bocco amemkinga gorikipa?.
Napenda sana kuheshimu mawazo ya mtu pasipo kutamka maneno yasiyo na maana kama hovyo.

Kuna mechi Messi aliwahi kufunga goli, ilipigwa pasi, foward akaukwepa mpira ili umfikie Messi, hakuonesha interest yoyote ile ya kutaka kuucheza ule mpira na haikuwa offside japo alizidi.

Hakuna tofauti yoyote ya hii ya jana, kama sikosei ni game ambayo Brazil alifungwa na Argentina 3 au 4. Messi alipiga Hat Trick hii game.
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
30,024
68,946
Kazumari kasha kua kama zuzu sasa hivi amegeuka kuwananga Simba kila kitu anakosoa
Akiwatoa makosa Yanga mnamuita hater na tena hiyo mnaifanya kwa msukumo wa Manara.

Sasa anaisema Simba sijui bado mnamuita hater?

Muache afanye majukumu yake ya kazi, hata Ally Kamwe aliwahi kusema kazi ya uchambuzi haimuhitaji kutengeneza ushkaji na viongozi wa timu maana kufanya hivyo kutakuwa kunamfanya ashindwe kuikosoa timu pale ambapo inakosea
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,865
31,390
Unalisema kwa kujificha tu, ila wewe ni pure Yanga

Sijajua kwanini swala la wewe kujiweka wazi kuwa ni shabiki wa Yanga liwe siri?

Kushabikia Yanga sio aibu come join them, sioni sababu ya kukufanya uishi mafichoni wakati mna kikosi kizuri, mlichukua ubingwa plus unbeaten

NB: Wote tunafahamu kwamba kuwa neutral ni swala ambalo haliwezekani labda kwa unafki
Ninarudia tena kwako Scars. Sijaanza Leo kupinga uchambuzi wa Jemadari Said. Mbona Ahmed Ally ni msemaji kabisa wa Simba na sijawahi kumpinga kwa weledi wake? Kanuni yangu kubwa ni kuwapinga wapotoshaji wote. Nimekuwa nikikuelezea kama shabiki unayejitambua lakini unapopuyanga nakwambia wazi hapo uko nje ya mstari.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,865
31,390
Akiwatoa makosa Yanga mnamuita hater na tena hiyo mnaifanya kwa msukumo wa Manara.

Sasa anaisema Simba sijui bado mnamuita hater?

Muache afanye majukumu yake ya kazi, hata Ally Kamwe aliwahi kusema kazi ya uchambuzi haimuhitaji kutengeneza ushkaji na viongozi wa timu maana kufanya hivyo kutakuwa kunamfanya ashindwe kuikosoa timu pale ambapo inakosea
Akichambua sahihi tutamuunga mkono, lakini akitumia platform yake kupotosha Jamii tutampopoa tu.
Mbona tangu jana hajajitokeza kutetea msimamo wake wa goli la Mbeya city kuwa offside?
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
30,024
68,946
Ninarudia tena kwako Scars. Sijaanza Leo kupinga uchambuzi wa Jemadari Said. Mbona Ahmed Ally ni msemaji kabisa wa Simba na sijawahi kumpinga kwa weledi wake? Kanuni yangu kubwa ni kuwapinga wapotoshaji wote. Nimekuwa nikikuelezea kama shabiki unayejitambua lakini unapopuyanga nakwambia wazi hapo uko nje ya mstari.
Mimi sikuiti mshabiki wa Yanga kulingana na mtazamo wako kuhusu Jemedari

Na wewe unaelewa sijaanza leo kukuita hivyo na sababu unaijua japo sio lazima ukiri
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
30,024
68,946
Akichambua sahihi tutamuunga mkono, lakini akitumia platform yake kupotosha Jamii tutampopoa tu.
Mbona tangu jana hajajitokeza kutetea msimamo wake wa goli la Mbeya city kuwa offside?
Ishawahi tokea siku moja ali retweet post ya Shafii dauda inayoonesha makando ya C.O mpya wa Yanga

After few hours, lile swala la C.O kuhusu rekodi mbaya za kiutendaji wa kitaaluma likaja kuwa resolved lakini Jemedari haku update hiyo taarifa mpya

Watu walimuita hater, mchambuzi uchwara na majina mengi yanayoshusha hadhi ya kile anachokifanya.

Lakini Ally Kamwe alienda studio za EFM na akaja kugusia hilo swala wakati huo na Jemedari yupo.

Jemedari alielezea scenario yote vizuri na kutoa sababu za kwanini hakuweka update na mpaka Ally Kamwe anatoka studio alikuwa ameridhika na majibu yake.

Sasa pamoja na hayo yote bado kuna watu ambao hawakumuelewa, sio hawakumuelewa kwasababu hakutoa utetezi wenye mashiko. Nah ni kwasababu washajengewa hiyo dhana kuwa huyo mtu ana chuki na Yanga

Na siku akiwa anaisema negative Simba, utawasikia hao watu wakisema "hana lolote anajifanya kubalansi tu ili aonekane hapendelei upande mmoja"
 
ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
6,598
14,256

Sisi hatutaki atusifie aendelee tu we need more haters huyu huyu ndio alianziasha uzushi kwamba Nabi hana leseni ya kukaa kwenye bench mechi za CAF
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
30,024
68,946
Sisi hatutaki atusifie aendelee tu we need more haters huyu huyu ndio alianziasha uzushi kwamba Nabi hana leseni ya kukaa kwenye bench mechi za CAF
Alianzisha uzushi?

Ingekuwa ni uzushi kwanini yule kiongozi wa TFF ali confirm kuwa ni kweli?

Au naye ni mmoja wa haters?
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,865
31,390
Ishawahi tokea siku moja ali retweet post ya Shafii dauda inayoonesha makando ya C.O mpya wa Yanga

After few hours, lile swala la C.O kuhusu rekodi mbaya za kiutendaji wa kitaaluma likaja kuwa resolved lakini Jemedari haku update hiyo taarifa mpya

Watu walimuita hater, mchambuzi uchwara na majina mengi yanayoshusha hadhi ya kile anachokifanya.

Lakini Ally Kamwe alienda studio za EFM na akaja kugusia hilo swala wakati huo na Jemedari yupo.

Jemedari alielezea scenario yote vizuri na kutoa sababu za kwanini hakuweka update na mpaka Ally Kamwe anatoka studio alikuwa ameridhika na majibu yake.

Sasa pamoja na hayo yote bado kuna watu ambao hawakumuelewa, sio hawakumuelewa kwasababu hakutoa utetezi wenye mashiko. Nah ni kwasababu washajengewa hiyo dhana kuwa huyo mtu ana chuki na Yanga

Na siku akiwa anaisema negative Simba, utawasikia hao watu wakisema "hana lolote anajifanya kubalansi tu ili aonekane hapendelei upande mmoja"
Ukiwa kwenye level aliyopo Jemadari au tuseme anayojiweka, hutakiwi kupost taarifa zenye makosa kila wakati ukitarajia kuomba radhi au kurekebisha unapogundulika. Anachokifanya ni makusudi na kudhani wengine hawana uelewa hivyo anaweza kuwadanganya atakavyo.
 
19 Reactions
Reply
Top Bottom