washamba hawa hawajuwi Lugha wanajifunza hapahapa Jamii Forums Kuna ubaya gani kusema neno hili ( JELA YA Guantanamo Prison) kuna ubaya gani kuchanganya Kiingereza na Kiswahiili? Waache na ushamba wao watu wa Bara hao.

Niliweka hivyo ili niwavutie watu unajuwa kuna Watu humu ndani lugha ya Kiingereza hawajuwi kuna watu humu humu ndani wanajuwa Lugha ya Kiingereza sisi binadamu tupo Watu tofautii. Kwani hapo nyumbani Hakuna kitu kama hicho? Kwa Mfano Barabara ya Mandela Road, Barabara ya Samora evenew Barabara ya Magomeni Kagera Road Barabara ya Msimbazi road? hakuna vitu kama hivyo hapo nyumbani Tanzania? Kuna kitu gani cha kushangaza? Au ndio Usomi mwingi wa vijana wa Siku hizi? Mambo ya Teknohama hayo. Lugha yetu ya Kiswahili imechanganyika na lugha nyingi ndani yake