Jela sio pazuri vijana wenzangu...!!!

Jela sio pazuri vijana wenzangu...!!!

Bora useme ulihukumiwa kwa kosa la kumtukana huyo bosi mwenye housegirl na ndipo ukahukumiwa hiyo miezi sita! Yaani upatikane na hatia ya kubaka halafu uhukumiwe miezi 6 tu! Huyo hakimu aliyekuhukimu una undugu naye?

Kwa hiyo ile njemba ikakuziba mdomo halafu ukaja kushtuka uko hospitali Mwananyamala! Kwenye hiyo selo mlikuwa wafungwa watatu tu! Basi sawa.
Wewe mbona unaangaika nae huyo hiyo ni
Chai bila kusumbua kichwa sana
 
Back
Top Bottom