Jela sio pazuri vijana wenzangu...!!!

Jela sio pazuri vijana wenzangu...!!!

Mm sijali kama ina ukweli au laa ninachojali ni kuona km inaishia ww kutolewa marinda
Usifanye mzaha Mbele Shida za mwenzako. Dunia tambala bovu Mkuu. Ukiwa bado unaishi kamwe usimcheke wala kumdharau aliye ktk Shida maana nawe hujui kesho yako, huyo kesha nywea Kikombe chake kilicho jaa maumivu, nawe hujui Kikombe utakachokinywea kitakuwa ktk hali gani. Yawezekana kikawa cha kutisha Zaidi.
 
Kesho tutapewa tena episode ya paragraph moja, tuahidiwe kesho kutwa tena.

Nadhani tukipata wadhamini story itaisha haraka.
 
Jela ulifungwa Segerea wilaya ya Ilala ila Hospitali baada ya kushtuka kutoka zahama ya kuzibwa mdomo usiku ukapelekwa Mwananyamala kwanini hukupelekwa Amana hospital ambayo ipo karibu kuliko Mwananyamala ukitokea Segerea?

Sidhani kama hii tungo ina ukweli

Du,watu mko makini kuchunguza between sentences nimeipenda hii tatizo litokee wilaya ya Ilala ukatibiwe wilaya ya Kinondoni
 
Ha Ha Mkuu ni vyema kujua ukweli wa taarifa ili ujue namna ya kuchangia maana unaweza kuingiwa na huruma / kutoa msaada kwa story ambayo si ya kweli. Sasa ili kuepusha hayo unakuwa makini ili kufuatilia mtitiriko ukishaona chenga unasepa kimyakimya
 
Usiendelee tena mdau maana tushajua umefir
Inaendelea ilipoishia jana,,,,

Jinsi gani nilipata maambukizi ya VVU.......
Baada ya kuhukumiwa kufungwa Jela manamo tar 19 mwezi wa kwanza kwa kosa la kubambikiziwa kuwa nimemmbaka dada wa Kazi wa kibosile mmoja pale jirani ya gheto nililopanga, Basi nilipekekwa Segerea kwa hukumu ya miezi 6. Kwa kweli sikuwa na furaha karibia week mbili tangu nianze kutumikia gerezani, sasa ikawa mda wa chakula naenda kuchukua ila ni kwa kiasi kidogo tu sababu sikuwa na furaha kama nilivyowaelezea hapo juu. Ikawa kuna jamaa mmoja pembeni yangu yeye amehukumiwa kwa kosa la Bangi miaka 3 ( gunia 5), ila jamaa hakuonekana kuwa na huzuni kwa kuwepo pale. Yeye ndie nikaona anafaa kuwa kama kaka yangu kwa kipindi chote hichi ambacho nitakachokuwa pale Jela.

Sasa kumbe yule jamaa aliombwa kunilaghai mimi na Njemba mmoja wa pale Lupango. Aisee wakati niko kwa mwezi pale gerezani, usiku mmoja yule njema akaomba kubadilishina nae eneo la kulala kwani mi nilikuwa karibu na yule jamaa ambaye alinipokea mwanzo naingia kwa jela.

Mimi sikufaham nini kinaendelea kwa siku ile kuona yule jamaa ambae amejazia kila idara, ila hakuwa (Nyapara) nadhani hili jina mnajua ni nani na mwenye cheo gani. Usiku wa manane nadhani ulikuwa usiku wa saa 8 ingawa sikuwa na saa, ghafla nastuka kuona jamaa kanisogelea karibu na pale nilipolala, kwa kweli niliogopa kwa story ambazo niliwahi kuzisikia kabla sijawa mfungwa zilinifanya kuogopa zaidi, kuwa kuna mchezo mchafu wa kulawitiana kama unakuwa bwegebwege.

Ila ndugu zangu kumbe ile siku ilikuwa ni ya kimkakati wa yule Jamaa Njema na yule ambaye niliona kuwa anaweza kuwa msaada kwangu kwa kipindi chote nitakapo kuwa pale Gerezani SIO mtu mzuri. Kwani yule jamaa njemba ghalfa aliniziba mdomo kwa kutumia Shirt lake, na kunishika mikono kwa nguvu.

Kilichotokea pale sikufaham ni nini kiliendelea, ila asbh nikajikuta niko katika Hosp ya Mwananyamala....

Itaendelea tena kesho kwani nazidi kuishiwa na nguvu kwa Story hii ya ukweli ambayo najuta kwa nini nilifungwa Jela kwa Kesi ya kusingiziwa kuwa nimembaka dada wa kazi Beki3.

NB; HIKI NI KISA CHA KWELI, SIO UONGO NDUGU ZANGU WA JF
 
Ulifungwa kwa kosa la kubaka kumbe Wewe ndo uliyebakwa....ahsante kwa kastory kako
 
Hata usiporudi/usipo endelea na story, wote tumeshaa jua kuwa umeliwa Kiboga...

Swali ni je utaendelea na hako kamchezo au utaachana nako...!?
 
Kesi ya kubaka na ukafungwa miezi sita mkuu, kuwa serious kidogo mkuu. Anyway pole kwa kusingiziwa kesi hilo ni janga katika nchi zetu hizi za watu weucc
 
Pale unaposistizia kisa cha kweli ili hali unajua unatudanganya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inaendelea ilipoishia jana,,,,

Jinsi gani nilipata maambukizi ya VVU.......
Baada ya kuhukumiwa kufungwa Jela manamo tar 19 mwezi wa kwanza kwa kosa la kubambikiziwa kuwa nimemmbaka dada wa Kazi wa kibosile mmoja pale jirani ya gheto nililopanga, Basi nilipekekwa Segerea kwa hukumu ya miezi 6. Kwa kweli sikuwa na furaha karibia week mbili tangu nianze kutumikia gerezani, sasa ikawa mda wa chakula naenda kuchukua ila ni kwa kiasi kidogo tu sababu sikuwa na furaha kama nilivyowaelezea hapo juu. Ikawa kuna jamaa mmoja pembeni yangu yeye amehukumiwa kwa kosa la Bangi miaka 3 ( gunia 5), ila jamaa hakuonekana kuwa na huzuni kwa kuwepo pale. Yeye ndie nikaona anafaa kuwa kama kaka yangu kwa kipindi chote hichi ambacho nitakachokuwa pale Jela.

Sasa kumbe yule jamaa aliombwa kunilaghai mimi na Njemba mmoja wa pale Lupango. Aisee wakati niko kwa mwezi pale gerezani, usiku mmoja yule njema akaomba kubadilishina nae eneo la kulala kwani mi nilikuwa karibu na yule jamaa ambaye alinipokea mwanzo naingia kwa jela.

Mimi sikufaham nini kinaendelea kwa siku ile kuona yule jamaa ambae amejazia kila idara, ila hakuwa (Nyapara) nadhani hili jina mnajua ni nani na mwenye cheo gani. Usiku wa manane nadhani ulikuwa usiku wa saa 8 ingawa sikuwa na saa, ghafla nastuka kuona jamaa kanisogelea karibu na pale nilipolala, kwa kweli niliogopa kwa story ambazo niliwahi kuzisikia kabla sijawa mfungwa zilinifanya kuogopa zaidi, kuwa kuna mchezo mchafu wa kulawitiana kama unakuwa bwegebwege.

Ila ndugu zangu kumbe ile siku ilikuwa ni ya kimkakati wa yule Jamaa Njema na yule ambaye niliona kuwa anaweza kuwa msaada kwangu kwa kipindi chote nitakapo kuwa pale Gerezani SIO mtu mzuri. Kwani yule jamaa njemba ghalfa aliniziba mdomo kwa kutumia Shirt lake, na kunishika mikono kwa nguvu.

Kilichotokea pale sikufaham ni nini kiliendelea, ila asbh nikajikuta niko katika Hosp ya Mwananyamala....

Itaendelea tena kesho kwani nazidi kuishiwa na nguvu kwa Story hii ya ukweli ambayo najuta kwa nini nilifungwa Jela kwa Kesi ya kusingiziwa kuwa nimembaka dada wa kazi Beki3.

NB; HIKI NI KISA CHA KWELI, SIO UONGO NDUGU ZANGU WA JF
Hiki ni kisa cha kutunga kwa sababu kuu mbili zifuatazo,1.Hakuna kifungo cha miezi 6 kwa kesi ya ubakaji,sababu ya pili ni kuwa uandishi wako tu,unaonyesha ni mtu unaye ishi kwenye ulimwengu wa kusadikika.
 
Muandishi hajawahi kukaa jela ila ameshawahi kuliwa tigo tena kwa ridhaa yake
 
Back
Top Bottom