Barua yangu kama umeipata Jejee fanya haraka rudi nyumbani jejee,.......
Baba yako amekwisha kufa hata habari huna, hata huruma huna, Jejee sikutegemea ahivyo ewalal Jejee Lutadila....
Unasikitisha sana huu wimbo.
Mwingine unaofana na huu ni ule wa "Watoto wamekuja juu, wanadai nyumba yao" ulipigwa na Washirika "Ningali bado najiuliza usiku na mchana na mme wangu kanitoka upweke umenizunguka, watoto wamekuja juu, wanadai nyumba yao......
...........................
Majirani wameshauri eti niache kazi wakati nyumba ni mali yao, jamani nifanye nini. Wengine wameshauri eti nirudi nyumbani, sina baba wala mama huko niende kwa nani?"
Huu hapa lakini sina uhakika kama ndiyo wenyewe; mapigo siyo yale ambayo nayajua mwenyewe