Jei kei atapewa barua lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jei kei atapewa barua lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Jun 3, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wana JF, nimesikia kuwa kuna wanachama wa CCM wametakiwa wajiondoe katika chama chao ikiwa ni moja ya hatua ya chama chao kujisafisha, mimi kwa mtizamo wangu nauliza ni lini mwenyekiti wao Dr,Dr,Dr, Alhaji, captain Jakaya Mrisho Kikwete atapewa barua ya kujiondoa au kuondoka ndani ya CCM ili chama kijisafishe kwa kuwa yeye ametajwa katika scandal nyingi za kifisadi. Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa ametajwa katika meremeta, na IPTL. Nawasilisha.
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu naomba nikufahamishe tu kuwa ile ilikuwa ni danganya toto na kamwe haiwezekani maana jk mwenyewe pale kakaa kama representing figure ya mwenyekiti ila wenye chama ni watatu na hathubutu kuwagusa.
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  atapewa barua mwaka 2015
   
 4. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mapacha watatu ndio wenye ccm yao..jeikey anaelekezwa afanye nini ndo mana hata kipindi cha kampeni aliamriwa awasafishe na kila alipopita kwenye majimbo yao aliwanadi kwa wananchi kuwa ni wasafi upo hapo mkuu!
   
 5. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa sawa! hata yule aliyetajwa kuwa ni Vuvuzela umemsikia tena anabwabwaja kuhusu mapacha? thubutu yake!!!
   
 6. std7

  std7 JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Hizo zitakuwa ni kadi za kupongezana.
   
Loading...