Jeh, ananiigizia ama anamaanisha??

Jeh, ananiigizia ama anamaanisha??

Amekwisha funga ndoa takatifu na jamaa yakee..

Inamaanisha walipima kabla ya ndoa..

Anyway tulipima kabla ya yendo..
Hao Wanawake mnao wapata Facebook huwa mnapima afya zao kabla ya Kufanya mazoezi?
Angalieni wasije wakawafanya mkose amani na furaha ya kuwepo duniani.
Ukimwi bado upo.
Nyie chiachieni tu, ukiona mtu yuko hivo akili yako inapaswa kuchemka kwakujiuliza maswali mengi.
Kama amefanya hivi na Mimi, keshafanya hivi na watu wangapi?
Ulimpa mimba, Maana yake uliuza mechi. Umeshapima afya yako mkuu?
Sasa hivi hawajulikani hata.
Wengine mnachukua wauza papuchino wa FB mnajiona mmepatiiiia.
 
Back
Top Bottom