Jeff session atapitishwa Leo kuwa jaji Mkuu wa USA .Kwa kweli democratic wangekuwa na discipline Na kuacha uwendawazimu wangeweza kumstopisha.Jeff session is a racist na anti immigrant and pro police ( law and order ) .kutokana na tabia ya democratic kuwaita republica wote ni racist matokeo Yake Jeff session Atakuwa attorney general .Watu hawaamini democratic tena .It will be catastrophic .Jeff session is worse than Arpio .Mimj ni conservative but hapa kwa Jeff session sikubaliani napo .je nyie Mnasemaje