PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,783 Mar 8, 2010 #2 jamani...mmmh! Usikute ni fasheni mpya ya wadada... Bongo watagombea hii makitu kama njugu!
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Mar 8, 2010 #3 hee!! wadada wetu wakitinga hizi mbona balaa kwenye daladala......kutakuwa na kesi za ubakaji nyingi sana.
hee!! wadada wetu wakitinga hizi mbona balaa kwenye daladala......kutakuwa na kesi za ubakaji nyingi sana.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Mar 11, 2010 #4 PakaJimmy said: jamani...mmmh! Usikute ni fasheni mpya ya wadada... Bongo watagombea hii makitu kama njugu! Click to expand... Du! wacha ije na huku kwetu, itakuwa noma!
PakaJimmy said: jamani...mmmh! Usikute ni fasheni mpya ya wadada... Bongo watagombea hii makitu kama njugu! Click to expand... Du! wacha ije na huku kwetu, itakuwa noma!