Uchaguzi ni kama working with computers, kuna vitu unaweza ku delete na baadae ukafanya undo na kuvirejesha. Lakini ukidelete from the recycle bin, kwanza unaulizwa to confirm ukicommand yes, hapo umefuta jumla!, you can't undo tena unless uipeleke computer yako kwa watu wa data recovery, ifumuliwe, hard disk ifanyiwe fragmentation, deleted files ziwe recovered na hard disk yako iwe dead for good!.Suali ni moja tu, Je ulipokea fomu ya malalamiko kutoka CCM?
Taarifa zilizopo ni kuwa hakuna malalamiko na wabunge na wawakilishi walipewa hati za kuthibisha kama wao ni washindi halali.
Kama ushindi wa CCM ni halali basi wa CUF nao hauna doa Magufuli ameshinda Seif ameshinda Uchaguzi uliotumika kwa ushindi ni mmoja siku moja
Uchaguzi ni kama working with computers, kuna vitu unaweza ku delete na baadae ukafanya undo na kuvirejesha. Lakini ukidelete from the recycle bin, kwanza unaulizwa to confirm ukicommand yes, hapo umefuta jumla!, you can't undo tena unless uipeleke computer yako kwa watu wa data recovery, ifumuliwe, hard disk ifanyiwe fragmentation, deleted files ziwe recovered na hard disk yako iwe dead for good!.
Hivyo uchaguzi wa Zanzibar once declared umefutwa, aliye declare hawezi tena yeye yeye kutagaza unaendelea kwa sababu tangu baada ya tangazo lile, kila kitu kilisimama!, you can't undo!.
Kinachoweza kufanyika ni
Hatua zote hizi ni hatua za kisheria, haki haipatikani kwa hotuba za majukwaani, vikao vya mazungumzo, wala kutupigia mikelele kutwa kucha kwenye media!, haki inapatikana kwa to do the right thing, or take the right action, at the right time and doing it right!.
- Wanasheria makini na mahiri, kufungua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar kutoa tafsiri ya kisheria ya uwezo na mamlaka ya Mwenykiti wa ZEC kufuta uchaguzi ambao haujalalamikiwa na yeyote!. Ilichofanya ZEC kisheria kinaitwa acting on 'sue motto', yaani kuchukua maamuzi on its own accord bila malalamiko yoyote!. Ili baadhi ya maamuzi ya kisheria yafanyike, kuna some preconditions srt lazima zitokee, ikiwepo malalamiko rasmi ya maandishi!. Hakuna mamalamiko yoyote ya maandishi kutoka upande wowote uliipa ZEC mamlaka ya kufuta uchaguzi!.
- Pia wanasheria hao, waombe tafsiri ya ukomo wa SMZ na uhallali wa time extention ya kuendelea kuwepo madarakani kwa SMZ kama ni halali au haramu.
- Kisha wanasheria hao, wanafungua shauri la kuomba kitu kinachoitwa 'wrtis' or 'executive orders za "certiorary, mandamus, au prohibition" ambapo mahakama kuu inaiamuru serikali kufanya jambo fulani kwa lazima!. Hivyo Shein, anaamriwa kumfuta kazi Jecha, na kuiamuru ZEC kuyatangaza matokeo halali ya uchaguzi wa Zanzibar.
Pasco
Mkuu,Jecha yule yule atakuja kwenye vyombo vya habari na atafuta kauli yake. Kama sheria, mbona hakutaja kifungu cha sheria yeye kinachompa madaraka ya kufuta uchaguzi. Hiyo sheria munaijuwa sasa?
Pasco uliyoyasema ni kweli. Katika hali ya kawaida hayo ndiyo yangetendeka, lakini nafikiri kuna kusita kwa sababu wanajua wakifanya hivyo tu ni 'automatic confirmation' ya kuhalalisha maamuzi binafsi ya Bw Jecha kwa kutumia mahakama. Ni suala la mfumo wetu na uhuru wa mahakama. Lakini pia nafikiri sasa watu wanajuwa vizuri kwa nini waziri mkuu alisema Zanzibar si nchi. Walipiga kelele kweli kweli, sasa nafikiri wanafahamu. Mambo yanaendelea.Uchaguzi ni kama working with computers, kuna vitu unaweza ku delete na baadae ukafanya undo na kuvirejesha. Lakini ukidelete from the recycle bin, kwanza unaulizwa to confirm ukicommand yes, hapo umefuta jumla!, you can't undo tena unless uipeleke computer yako kwa watu wa data recovery, ifumuliwe, hard disk ifanyiwe fragmentation, deleted files ziwe recovered na hard disk yako iwe dead for good!.
Hivyo uchaguzi wa Zanzibar once declared umefutwa, aliye declare hawezi tena yeye yeye kutagaza unaendelea kwa sababu tangu baada ya tangazo lile, kila kitu kilisimama!, you can't undo!.
Kinachoweza kufanyika ni
Hatua zote hizi ni hatua za kisheria, haki haipatikani kwa hotuba za majukwaani, vikao vya mazungumzo, wala kutupigia mikelele kutwa kucha kwenye media!, haki inapatikana kwa to do the right thing, or take the right action, at the right time and doing it right!.
- Wanasheria makini na mahiri, kufungua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar kutoa tafsiri ya kisheria ya uwezo na mamlaka ya Mwenykiti wa ZEC kufuta uchaguzi ambao haujalalamikiwa na yeyote!. Ilichofanya ZEC kisheria kinaitwa acting on 'sue motto', yaani kuchukua maamuzi on its own accord bila malalamiko yoyote!. Ili baadhi ya maamuzi ya kisheria yafanyike, kuna some preconditions srt lazima zitokee, ikiwepo malalamiko rasmi ya maandishi!. Hakuna mamalamiko yoyote ya maandishi kutoka upande wowote uliipa ZEC mamlaka ya kufuta uchaguzi!.
- Pia wanasheria hao, waombe tafsiri ya ukomo wa SMZ na uhallali wa time extention ya kuendelea kuwepo madarakani kwa SMZ kama ni halali au haramu.
- Kisha wanasheria hao, wanafungua shauri la kuomba kitu kinachoitwa 'wrtis' or 'executive orders za "certiorary, mandamus, au prohibition" ambapo mahakama kuu inaiamuru serikali kufanya jambo fulani kwa lazima!. Hivyo Shein, anaamriwa kumfuta kazi Jecha, na kuiamuru ZEC kuyatangaza matokeo halali ya uchaguzi wa Zanzibar.
Pasco
Ndugu zetu wanachoma ubani. jibu litapatikana tu.
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.
Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.

Huku hatuna haja ya kurudia uchaguzi, kwetu siku zote mshindi huwa ni CCM, ndio maana imebidi na huko lazima iwe ni CCM kufuatia rais wa Zanzibar kupaswa kuwa ni waziri asiye na wizara maalum, sasa kitendo cha CUF kushinda Zanzibar, kungepelekea kumuingiza nyoka ndani ya nyumba!. Kuliko kuingiza nyoka ndani ya CCM, bora futa matokeo, uchaguzi, ili huyo nyoka apondwe kichwa!.Je na tanganyika utarudiwa?turudi kwenye hoja jecha hana mamlaka ya kufuta uchaguzi.
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.
Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.
Pasco
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.
Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.
Pasco
cuf urais watakua wanaota tu.Unaota.uchaguzi umefutwa hakuna cha kutangaza mshindi.subirini marudio
Je?ha mnamuweka nyie watanganyika mmeleta vifaru na askari wenu huku leo mnatushangaa waznz.Yaani h?ta mimi nimeanza kuwapuuza waznz ici nyie hiyo nchi tenu niya baazi yawatu kua Wao ndo znz.jecha ni anani .huyo niwakumkamatatu nakumtosa bahali mpaka mshindi amtangaze .