Je, kuna haja ya Maalim kugombea tena 2020?Mkuu hakuna anaekosa usingizi kwa yule mtu, ila yeye ametoa somo kubwa sana ni kwa jinsi gani mwenye nguvu anaweza kushindana na asie na nguvu, kuna njia nyingi sana. Alichofanya Jecha kuna tafakuri kubwa sana kuelezea tatizo lilipo Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kilichotokea kule kinaweza kutokea Tanganyika 2020 pia
...husahau,ila mtupa maganda...Mla ndizi....
Baada ya Idd Amin kutimuliwa Uganda na Nyerere, alikuwa kila wakati anamtaja Nyerere huku akisonya na kukuna kichwa kwa hasira kwa maisha yake yote yaliyokuwa yamebakia. Hivi sasa jamaa zetu kila wakati huwa wanalitaja jina la Jecha na kusonya tu kila wakati.Jecha anakuja kuwabatiza CUF kwa makaa ya moto
Yaani atawatangaaza tena kwa ushindi wao wa mwaka Jana? OKJecha anakuja kuwabatiza CUF kwa makaa ya moto
Jecha ni mpenda haki anastahili kupewa nishani ya Utumishi bora!Jamaa wakimkumbuka Jecha matumbo yao huwa yanawakata, mate yanawajaa midomoni, usingizi unawapaa na wanashikwa na simanzi la hali ya juu. Jecha ni alama yao ya matumaini yaliyofifia mithili ya jina na sauti ya ndege bundi anapolia juu ya paa la nyumba au kwenye mti uliyoko karibu sana na nyumba ambayo ndani yake kuna mgonjwa anayeshindwa hata kumeza uji. Jecha ni jina linalosababisha jamaa wengi kupoteza matumaini kabisa na wasijue what next, how and for what?. Ama kweli Jecha ataingia kwenye historia zetu za sasa na za vizazi vingi sana vijavyo.
Kama A ilikuwa sawa B na B ilikuwa sawa C lakini A haikuwa sawa C, hapo patakuweje wajemeni 2020?
Masaburi yako!JECHA HANA TOFAUTI NA IDD AMIN DADA
Huyu Bwana Jecha anafaa kupewa Nishani Kabisa! Aliitendea haki Nchi yake ya Zanzibar kwa kuzingatia Sheria za Uchaguzi bila chenga!Kweli huyu mtu aliniliza nusu nizimie basi tu
Huyu Bwana Jecha anafaa kupewa Nishani Kabisa! Aliitendea haki Nchi yake ya Zanzibar kwa kuzingatia Sheria za Uchaguzi bila chenga!
Ni ugonjwa wa kichaa kuzimia kwa sababu Seif kashindwa kwa kususia kwake mwenyewe!Sasa wewe ugonjwa wako wa akili umetoka kote huko umekuja kuniquote ee ? utakaa PUNGA