Jeans Chano ilivyoniachanisha na Mchumba wangu

Haikuwa busara kumfanyia hivyo ulivyomfanyia mbele za watu.

Kama hukufurahishwa na mavazi yake ulitakiwa uzuge tu muda huo ukiwa na rafiki zako, halafu baadae mkiwa wenyewe wawili tu au over the phone (kama hamko karibu) umueleze sasa kuwa alikuaibisha na style ya uvaaji wake. Na ungechukua opportunity hiyo hiyo kumueleza expectations zako kwake. Kipi hupendi na kipi unapenda.

Kama ni mara ya kwanza, sijaona kosa la kuvunja uchumba hapo mkuu. Malizeni tofauti zenu na peaneni miongozo ya jinsi mnavyotaka muishi. Kama anakupenda basi atabadilika. Masikini binti wa watu si ajabu alijua akivaa hivyo alivyovaa mchumba wake utajiona fahari kweli mbele ya washkaji zako.
 
Safi kabisaa hayo matambara apeleke huko huko bhana
 
Tatizo hizi fiction mnaletaga nusu nusu...kama umemwacha kwa dhati kabisa weka namba yake ya simu hapa na account namba yake ikiwezekana wengine wachangamkie tenda...watu hawajali hata kama hakuvaa nguo kabisa wee rudi tu kijijini kwenu ukaoe kimila!
 
Hii thread imekaakaa kishua flani hvi! Ngoja vijana wa Masaki, Upanga huko waje watoe yamoyoni hapa!
 
Torn Jeans
7fnazo-l-610x610-jeans-destroyed+jeans-blue+jean-kim+kardashian+style-torn+jeans-celebrity+style+steal-fashion-clothing.jpg
 
Haikuwa busara kumfanyia hivyo ulivyomfanyia mbele za watu.

Kama hukufurahishwa na mavazi yake ulitakiwa uzuge tu muda huo ukiwa na rafiki zako, halafu baadae mkiwa wenyewe wawili tu au over the phone (kama hamko karibu) umueleze sasa kuwa alikuaibisha na style ya uvaaji wake. Na ungechukua opportunity hiyo hiyo kumueleza expectations zako kwake. Kipi hupendi na kipi unapenda.

Kama ni mara ya kwanza, sijaona kosa la kuvunja uchumba hapo mkuu. Malizeni tofauti zenu na peaneni miongozo ya jinsi mnavyotaka muishi. Kama anakupenda basi atabadilika. Masikini binti wa watu si ajabu alijua akivaa hivyo alivyovaa mchumba wake utajiona fahari kweli mbele ya washkaji zako.
nakutafuta kiongozi.
 
Ni kama kukutana na alojichora tattoo, lazima utumie busara kiaina kumkimbia. Ndio maana wengine huwa wanataka waone profile za huko fb, maana kama ana mambo flani ya picha za chiu na matatoo yaliyowazi utaona tu.
 
hako kajibwa kwenye avata yako ni aina gani,,, kapole kama mateja wa kiboroloni.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom